Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Asante Mkuu.Hongera sana mkuu!
Itakua selfii ya Tecno werevahongera sana mkuu kwa hatua hiyo. Ushauri, picha ya kwenye lebo ungeweka ukiwa unaimba siyo hiyo uliyoiweka.
Sasa hivi umekuwa DJ?Join with me on You Tube, DJ. DON NALIMISON.
View attachment 1805985
Acha tu boss. Uwa namsupport jamaa YouTube huko. Anawakimbiza wasanii wengi tu East Africa.Hongera mkuu, miziki yako ni ipi hiyo?
Share hapa tuisikilize kama hutajali
Kiikyo kwa kuchocha?Aisee Ngachoka chokiii..Jina la usanii ni hili hili mkuu?
Join with me on You Tube, DJ. DON NALIMISON.