Unastahili pongezi kwa hatua hii uliyofikia.
Sasa ni wajibu wako kuwa conscious kuwa scene za video zako ziwe za kimataifa, mambo ya scene kusukumana au kuvutana yasiwepo bali tumia mistari kufikisha ujumbe usionekane mnyanyasaji hata kama humtaki tumia staili nyingine.
Ukifuata ushauri huu mdogo utafika mbali kimataifa.