financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ndiyo nilikua nakuchora tu hapa, endelea tuu nikimaliza PHD yangu hatuoani nakwambia😀😀Duh! Naona nimefumaniwa mchana kweupe na mama mwenye nyumba. Kaka yake G nimeumbuka!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nilikua nakuchora tu hapa, endelea tuu nikimaliza PHD yangu hatuoani nakwambia😀😀Duh! Naona nimefumaniwa mchana kweupe na mama mwenye nyumba. Kaka yake G nimeumbuka!!!
Wajanja washawahi mkuu.Si upropose kwake tu?
Hilo neno halina nafasi kwetu.Mtaachana tu
Ahsante loveKila rakheri ktk safari yenu ya mahusiano na mfike mbali, amen.
Ahsante sana.Duh! Hongera
Jana na leo tupo sana tupo mnoooo kila siku tunazidi kupendana na kusikilizana zaidi ya jana.Usisahau mrejesho!
Tatizo G si level zenu kabisa.Nasubiri mrejesho wa baba G kuleta uzi wake siku za usoni,lakini nimpongeze kwa sasa kwa kutuwakilisha vyema
Ninapasha kiporo na G [emoji14]Hapa Cha msingi utuambie lini utapasha kipolo na baba wa mtoto au kurudi kabisa hayo mengine ni blablaaa tu
Naona mleta mada kakurupuka, hawafahamu wanaume huyuHakuna anaechukia furaha yako Mkuu... Ila huo ushuhuda Hebu peleka kanisani... Lakini baada ya ndoa.
Mmmh kuna raia huko Wana kubali single maza..!!!Sijui niandike nini.
Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture.
Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno. Upendo wako kwetu ni wa hali ya juu.
Ile sentensi ya kuwa "....hii ikisimama hutokuwa na wasiwasi na future ya mtoto..." ilimaanisha vitu vingi sana.
Nakupenda nakupenda nakupenda.
Wengi mtajiuliza huyu dada ni nani?Miminimama ni yule niliyekuwa naandika humu natafuta mume.
Nimepata zaidi ya mume.
Lakini haikuwa safari ya muda mfupi. Ni safari ya miaka 2 humu. Humu ndani kuna watu wa aina zote umakini na kutokata tamaa unahitajika.
Kabla ya kuwa "single mom" nilikuwa mwanamke mwenye maono yangu, mfano bora kwa kila mzazi mwenye bint. Lakini safari yangu ya kuwa mama ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu. Nilipitia magumu mengi sana.
Mwenyewe G wangu ananiambia unaweza kumpata mwandishi mzuri akaandika vizuri hayo mapito na nikatengeneza pesa.
Miaka 6 kwangu ni kilio tu na majonzi. Hata wale watu wa karibu yangu ambae wangenipa moyo na ushauri wote waligeuka.
Nilikuwa mimi na mwanangu tu. Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela. Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.
Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume. Just two of us mimi na mwanangu.
No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.
Yaani kila kitu ni negative. Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari huyu mwanaume ameenda mbali mno na ninajivunia sana na kila siku naomba Mungu amtunze na amlinde.
Ampe umri mrefu. Kwangu sasa hivi Kuna furaha. Mtoto wa single mom amepata baba. "Ninasemelewa kwa baba" siku hizi.
Ninafuraha ya maisha, ni mdada ambae G ananijenga kuwa tajiri si kwamba yeye ni tajiri wa Mali hapana. Yeye ni tajiri wa moyo ana upendo sana.
Pale nilipoishia miaka 6 nyuma yeye ndo anapoanzia. Mwanaume anayenipa vingiiiiiiiiiiiiiiiiii na vizuri mno. Ameituliza akili yangu,amenituliza kitandani amenituliza na mfukoni [emoji385].
Hili ni penzi ambalo nimelisotea miaka mingi sana kulipata. Nitalitunza na kulienzi siku zote. Nawaombea wote ambao humu mnatafuta wapenzi kwa dhati mpate.
Ahsante G, ahsante kwa kunionyesha mimi ni mwanamke wa pekee kwako. Ahsante kwa upendo wako kwetu. Ahsante kwa kutukumbatia. Ahsante kwa kurudisha tabasamu na nuru kwangu. Ahsante kwa kunifuta machozi. Ahsante kwa kunitengeneza niwe mwanamke wa kipekee na kurudisha ndoto zangu.
Ahsante kwa kuwa nami kwenye kila ninalopitia. Ahsante kwa penzi lako ni tamu mno. Ahsante kwa best love making[emoji6] unanifanya nitake mara kwa mara. Ahsante kwa kunifanya niwashwe mda wote[emoji8]. Ahsante kwa kunikuna mda wote kila nikiwashwa.
Ahsante kwa kuniongoza ahsante kwa ubongo wako maana unafanya kazi mno kwa ajili yangu. Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako. Ahsante kwa kunilinda. Ahsante kwa kila kitu baba K wangu .
Nakupenda mno. Mimi ni wako mpaka kifo kitutenganishe.
Sijui niandike nini.

Now mnatimiza miezi mingapi kwa sasaSijui niandike nini.