Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Sijui niandike nini.

Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture.

Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno. Upendo wako kwetu ni wa hali ya juu.

Ile sentensi ya kuwa "....hii ikisimama hutokuwa na wasiwasi na future ya mtoto..." ilimaanisha vitu vingi sana.

Nakupenda nakupenda nakupenda.

Wengi mtajiuliza huyu dada ni nani?Miminimama ni yule niliyekuwa naandika humu natafuta mume.
Nimepata zaidi ya mume.

Lakini haikuwa safari ya muda mfupi. Ni safari ya miaka 2 humu. Humu ndani kuna watu wa aina zote umakini na kutokata tamaa unahitajika.

Kabla ya kuwa "single mom" nilikuwa mwanamke mwenye maono yangu, mfano bora kwa kila mzazi mwenye bint. Lakini safari yangu ya kuwa mama ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu. Nilipitia magumu mengi sana.

Mwenyewe G wangu ananiambia unaweza kumpata mwandishi mzuri akaandika vizuri hayo mapito na nikatengeneza pesa.

Miaka 6 kwangu ni kilio tu na majonzi. Hata wale watu wa karibu yangu ambae wangenipa moyo na ushauri wote waligeuka.

Nilikuwa mimi na mwanangu tu. Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela. Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.

Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume. Just two of us mimi na mwanangu.

No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.

Yaani kila kitu ni negative. Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari huyu mwanaume ameenda mbali mno na ninajivunia sana na kila siku naomba Mungu amtunze na amlinde.

Ampe umri mrefu. Kwangu sasa hivi Kuna furaha. Mtoto wa single mom amepata baba. "Ninasemelewa kwa baba" siku hizi.

Ninafuraha ya maisha, ni mdada ambae G ananijenga kuwa tajiri si kwamba yeye ni tajiri wa Mali hapana. Yeye ni tajiri wa moyo ana upendo sana.

Pale nilipoishia miaka 6 nyuma yeye ndo anapoanzia. Mwanaume anayenipa vingiiiiiiiiiiiiiiiiii na vizuri mno. Ameituliza akili yangu,amenituliza kitandani amenituliza na mfukoni [emoji385].

Hili ni penzi ambalo nimelisotea miaka mingi sana kulipata. Nitalitunza na kulienzi siku zote. Nawaombea wote ambao humu mnatafuta wapenzi kwa dhati mpate.

Ahsante G, ahsante kwa kunionyesha mimi ni mwanamke wa pekee kwako. Ahsante kwa upendo wako kwetu. Ahsante kwa kutukumbatia. Ahsante kwa kurudisha tabasamu na nuru kwangu. Ahsante kwa kunifuta machozi. Ahsante kwa kunitengeneza niwe mwanamke wa kipekee na kurudisha ndoto zangu.

Ahsante kwa kuwa nami kwenye kila ninalopitia. Ahsante kwa penzi lako ni tamu mno. Ahsante kwa best love making[emoji6] unanifanya nitake mara kwa mara. Ahsante kwa kunifanya niwashwe mda wote[emoji8]. Ahsante kwa kunikuna mda wote kila nikiwashwa.

Ahsante kwa kuniongoza ahsante kwa ubongo wako maana unafanya kazi mno kwa ajili yangu. Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako. Ahsante kwa kunilinda. Ahsante kwa kila kitu baba K wangu .

Nakupenda mno. Mimi ni wako mpaka kifo kitutenganishe.
Mbona Kama akifilisika story itabadilika
 
Ninakupenda kufa G wangu, penzi lako tamu tamu zaidi ya asali
 
Haya mambo ni ya kutunza moyoni.
Ukipata mafanikio usipende kuyatangaza, narudia ukipata mafanikio usianze kuyatangaza.
Ukipata pesa usipige nazo picha maisha yanabadilika.

Humu weka uzi usiozungumzia mafanikio yako kwa kiasi kikubwa, Mkuu unaweza kudhani haujulikani ila watu wanakujua mpaka namba zako wanazo, watu hatupendani kiasi hicho unachofikiria
Unaweza kuamini hapo sijaandika hata theluthi ya aliyonifanyia G.

Na siwezi kuandika sababu najua itakuwa mjadala na wengine wataona ninaota.

Ila ni mwanaume bora kabisa, mwanaume wa pekee
 
Aisee nmesoma hadi nmesisimka, hakika mungu hamtupi mja wake
 
Aisee nmesoma hadi nmesisimka, hakika mungu hamtupi mja wake
Amina dada, yaani ukiniona sasa hivi ninavyowaka heshima ninayopewa hatariiiiii, wale wote waliokuwa kando na walionipa matusi na kejeli wanajirudisha ila nimewaweka kando.

Hakika humu ndani kuna wanaume bora kabisaaaa, halafu G mwenyewe mpole hana makuu ananionyesha mapenzi tu siku hadi siku, ananidekeza siku hadi siku, ananinogesha kila siku.

Nyumba yangu imekuwa na baraka sana ana amani na furaha tele.


Sasa huvi eti wanaume ndo wananiona na kunijua na kusumbua.

Hakika hawana nafasi aliponitoa ni mbali mnoooo, na tunaoenda ni mbali zaidi.

Mwaka tushaumaliza ni kama vile tumejuana jana.

G baba "miminimama" nakupenda sana.
 
Kuna mwanamke mmoja ni mshauri wa mahusiano insta, alisema "poverty makes you think that you are in love" maana yake "umaskini unaweza kukufanya ufikiri unampenda mtu" kumbe sivyo.

Huyo G unampenda kwasababu anakupa hela, G akifilisika na ww utamkimbia miminimama
Wangapi wana hela lakini hawaoneshi mapenzi kwa wake zao?wangapi wana maisha mazuri lakini hawana amani?

G ana mapenzi na mapenzi aliyonionyesha sijawahi kuyapata, moyo alionao sijawahi kuuona.
Halafu acheni wivu basi kuna pesa na kuna mapenzi.

Nyie mnaona pesa tu hamuoni mapenzi, poleni sana.
Halafu akifilisika mimi sasa hivi ndo ninapesa kumzidi yeye.

Ninapesa kweli kweli yaani
 
Back
Top Bottom