Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
usibadili tabia mpe tundi kila anapohitaji hata mara kumi mpe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa yenyewe najiandaa kwenda kumpa ninampa ninampa ninampa tenausibadili tabia mpe tundi kila anapohitaji hata mara kumi mpe
Na hela zikikata ndo utamjua vizuri mwanamkeMbona Kama akifilisika story itabadilika
Kabisa mkuuMuombe mungu sana kwenye vitu vizuri shetan hakai mbali
Duuh kumbe hata hamjaoana, i rest my case[emoji15][emoji15]Inabidi G sasa anioe.
Maana wengine wamesema nisizae, wewe unasema nitengeneze familia na yeye.
G baba inabidi unioe sasa.
hakuna uchawi mwingi hiyo ndio dawa kubwa zaidi ya zote naturalyHapa yenyewe najiandaa kwenda kumpa ninampa ninampa ninampa tena
Hatuachani, ananipenda ninampenda.
Haniachi na simuachi.
Kwako wewe kukojzwa na pesa ndo umemaliza kuishi eti heSina hiyo nafasi.
Huwa tunacheat kwa sababu lakini kwake nimefika penzi lipo ninakojozwa nakojozwaaaaa nakojozwa tena mpaka ninazimiaaaa, pesa iko tele, ninapewa zaidi ya furaha.
Yaani G ni kiboko yangu kama treni imeshafika kigoma.
Duuh kumbe hata hamjaoana, i rest my case[emoji15][emoji15]
Jipe moyo,wananzengo tupo hapahapa tuuWangapi wana hela lakini hawaoneshi mapenzi kwa wake zao?wangapi wana maisha mazuri lakini hawana amani?
G ana mapenzi na mapenzi aliyonionyesha sijawahi kuyapata, moyo alionao sijawahi kuuona.
Halafu acheni wivu basi kuna pesa na kuna mapenzi.
Nyie mnaona pesa tu hamuoni mapenzi, poleni sana.
Halafu akifilisika mimi sasa hivi ndo ninapesa kumzidi yeye.
Ninapesa kweli kweli yaani
Kimbe bado hujaolewaInabidi G sasa anioe.
Maana wengine wamesema nisizae, wewe unasema nitengeneze familia na yeye.
G baba inabidi unioe sasa.
Nyie viumbe akili zenu mnazijua wenyewe, kuna wenzako walikula viapo vikubwa zaidi yako ila kilichotokea ni historiaSina hiyo nafasi.
Huwa tunacheat kwa sababu lakini kwake nimefika penzi lipo ninakojozwa nakojozwaaaaa nakojozwa tena mpaka ninazimiaaaa, pesa iko tele, ninapewa zaidi ya furaha.
Yaani G ni kiboko yangu kama treni imeshafika kigoma.
HahahaSijui niandike nini.
Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture.
Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno. Upendo wako kwetu ni wa hali ya juu.
Ile sentensi ya kuwa "....hii ikisimama hutokuwa na wasiwasi na future ya mtoto..." ilimaanisha vitu vingi sana.
Nakupenda nakupenda nakupenda.
Wengi mtajiuliza huyu dada ni nani?Miminimama ni yule niliyekuwa naandika humu natafuta mume.
Nimepata zaidi ya mume.
Lakini haikuwa safari ya muda mfupi. Ni safari ya miaka 2 humu. Humu ndani kuna watu wa aina zote umakini na kutokata tamaa unahitajika.
Kabla ya kuwa "single mom" nilikuwa mwanamke mwenye maono yangu, mfano bora kwa kila mzazi mwenye bint. Lakini safari yangu ya kuwa mama ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu. Nilipitia magumu mengi sana.
Mwenyewe G wangu ananiambia unaweza kumpata mwandishi mzuri akaandika vizuri hayo mapito na nikatengeneza pesa.
Miaka 6 kwangu ni kilio tu na majonzi. Hata wale watu wa karibu yangu ambae wangenipa moyo na ushauri wote waligeuka.
Nilikuwa mimi na mwanangu tu. Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela. Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.
Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume. Just two of us mimi na mwanangu.
No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.
Yaani kila kitu ni negative. Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari huyu mwanaume ameenda mbali mno na ninajivunia sana na kila siku naomba Mungu amtunze na amlinde.
Ampe umri mrefu. Kwangu sasa hivi Kuna furaha. Mtoto wa single mom amepata baba. "Ninasemelewa kwa baba" siku hizi.
Ninafuraha ya maisha, ni mdada ambae G ananijenga kuwa tajiri si kwamba yeye ni tajiri wa Mali hapana. Yeye ni tajiri wa moyo ana upendo sana.
Pale nilipoishia miaka 6 nyuma yeye ndo anapoanzia. Mwanaume anayenipa vingiiiiiiiiiiiiiiiiii na vizuri mno. Ameituliza akili yangu,amenituliza kitandani amenituliza na mfukoni [emoji385].
Hili ni penzi ambalo nimelisotea miaka mingi sana kulipata. Nitalitunza na kulienzi siku zote. Nawaombea wote ambao humu mnatafuta wapenzi kwa dhati mpate.
Ahsante G, ahsante kwa kunionyesha mimi ni mwanamke wa pekee kwako. Ahsante kwa upendo wako kwetu. Ahsante kwa kutukumbatia. Ahsante kwa kurudisha tabasamu na nuru kwangu. Ahsante kwa kunifuta machozi. Ahsante kwa kunitengeneza niwe mwanamke wa kipekee na kurudisha ndoto zangu.
Ahsante kwa kuwa nami kwenye kila ninalopitia. Ahsante kwa penzi lako ni tamu mno. Ahsante kwa best love making[emoji6] unanifanya nitake mara kwa mara. Ahsante kwa kunifanya niwashwe mda wote[emoji8]. Ahsante kwa kunikuna mda wote kila nikiwashwa.
Ahsante kwa kuniongoza ahsante kwa ubongo wako maana unafanya kazi mno kwa ajili yangu. Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako. Ahsante kwa kunilinda. Ahsante kwa kila kitu baba K wangu .
Nakupenda mno. Mimi ni wako mpaka kifo kitutenganishe.
Update.
Mwaka sasa mimi na yeye penzi limetaradadiiiiii imebaki history, sijawahi kulia, kuwa na huzuni wala kujuta kukujuana nae.
Na kama kuna maisha baada ya hapa ninaomba pia niwe na G wangu.
Nakupenda babaaaa
Usikimbilie kumbebea mimba, kwa manjonjo ya mwaka mmoja tu vuta subira
Utapata wako mpendwa wangu tena utapata mda ambao hautegemei.
HahahaKwa mwandiko huo ni wazi kuwa unajifariji tu, ila usikate tamaa mlee mwanao katika maadili mema.
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Yaani tukiwaambia humu utukufu wa mwanamke ni kwa mwanaume na ndipo ilipo furaha ya kweli ya mwanamke cariha anasema mfumo dume.
Hongera kwa kumpata Baba yako mheshimu na uyalinde maono yake
Mkuu hii chai yako ni nzuri mno bt inakosa vitafunio tu