PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Hawa watu hawanielewi matokeo yao ni matusi tu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu hawanielewi matokeo yao ni matusi tu humu
Mimi siko jf kutafta wanaume pia kuandika nipendacho sio kosa so sometimes nyie wanaume mnajitukana kwa jinsi mlivotafsiri vitu, Mimi naandika interpretation yenu
😂 😂 😂 😂
Jamani, akaribie sana
Tulianzia Nguzo Primary, jamaa yuko njema kwenye uchambuzi 🤣🤣🤣
Ulikuwa wapi kunipa kazi niondokane na umaskini?
Ila G kunipa vyote imekuwa shida.
Kuzaliwa maskini so chaguo langu.
Na hao watoto wako unaweza kuwaandalia kila kitu na mkapoteza kila kitu ndani ya siku moja.
Eti wanasema ni pesa zako tu zinanichanganya.
Unaliongeleaje hili?
Ninajitahidi kwenye hilo
Maana hata yeye hashiki simu yangu.
Ninampa space ya kutosha na amani.
Kumbe ulishakutana na wanawake maskini na wasio na pesa?
Na bado ukawaaacha hivyo hivyo?
Unaona sasa tofauti yako na G?
Ahsante sana.
Uje upike na kupakua eti!!
Unancheksha.
Si upropose kwake tu?
Hilo nalo neno naona huyu Dada alikuwa desperate sana na mwanaume, sasa kampata hajakaa nae hata muda keshakuja huku kutangaza you never know mambo ya mbeleni huko maana moyo wa mtu kichaka
K
Kweli angalau Angekuwa amekaa nae hata miaka minne sawa, sasa mwezi tu keshajiachia hivyo, mbutaa
Points
Kweli Kabisa
Na wewe Kazana upate Bibi, jua Lishazama ukikosa kabisa njoo pm
Weekend hii punguzeni sitiless
In your dream babe[emoji57]
😀😀, haya kaka G
Ndiyo nilikua nakuchora tu hapa, endelea tuu nikimaliza PHD yangu hatuoani nakwambia😀😀
Bado tupo sana tunapendana zaidi ya jana.
Hilo neno halina nafasi kwetu.
Hajui hata kugombana achilia mbali kukasirika tutaachanaje?
Ahsante love
Ahsante sana.
Jana na leo tupo sana tupo mnoooo kila siku tunazidi kupendana na kusikilizana zaidi ya jana.
Tatizo G si level zenu kabisa.
Kachagua mtu sahihi na mimi nimepata mtu sahihi.
Kuhusu hilo msahau kabisa.
Haiwezekani, mimi na yeye dam dam kifo tu kitatuachanisha
Mwaka mmoja na penzi limetaradadiiiiiii ng'aring'ari
Ninakupenda kufa G wangu, penzi lako tamu tamu zaidi ya asali
Anajua amenifanya niwe mwanamke bora zaidi.
Ninampenda na yeye ananipendaaa.
Tunapendana.
Unaweza kuamini hapo sijaandika hata theluthi ya aliyonifanyia G.
Na siwezi kuandika sababu najua itakuwa mjadala na wengine wataona ninaota.
Ila ni mwanaume bora kabisa, mwanaume wa pekee
Ndiyo yupo humu.
Amina dada, yaani ukiniona sasa hivi ninavyowaka heshima ninayopewa hatariiiiii, wale wote waliokuwa kando na walionipa matusi na kejeli wanajirudisha ila nimewaweka kando.
Hakika humu ndani kuna wanaume bora kabisaaaa, halafu G mwenyewe mpole hana makuu ananionyesha mapenzi tu siku hadi siku, ananidekeza siku hadi siku, ananinogesha kila siku.
Nyumba yangu imekuwa na baraka sana ana amani na furaha tele.
Sasa huvi eti wanaume ndo wananiona na kunijua na kusumbua.
Hakika hawana nafasi aliponitoa ni mbali mnoooo, na tunaoenda ni mbali zaidi.
Mwaka tushaumaliza ni kama vile tumejuana jana.
G baba "miminimama" nakupenda sana.
Shetani kwetu hana nafasi.
Wangapi wana hela lakini hawaoneshi mapenzi kwa wake zao?wangapi wana maisha mazuri lakini hawana amani?
G ana mapenzi na mapenzi aliyonionyesha sijawahi kuyapata, moyo alionao sijawahi kuuona.
Halafu acheni wivu basi kuna pesa na kuna mapenzi.
Nyie mnaona pesa tu hamuoni mapenzi, poleni sana.
Halafu akifilisika mimi sasa hivi ndo ninapesa kumzidi yeye.
Ninapesa kweli kweli yaani
Inabidi G sasa anioe.
Maana wengine wamesema nisizae, wewe unasema nitengeneze familia na yeye.
G baba inabidi unioe sasa.
Makopa yananizunguka kichwani nnaposoma haya, kumbe na mm ipo sku ntacheka
Hatuachani, ananipenda ninampenda.
Haniachi na simuachi.
Sina hiyo nafasi.
Huwa tunacheat kwa sababu lakini kwake nimefika penzi lipo ninakojozwa nakojozwaaaaa nakojozwa tena mpaka ninazimiaaaa, pesa iko tele, ninapewa zaidi ya furaha.
Yaani G ni kiboko yangu kama treni imeshafika kigoma.
Too much is harmful, penda kwa kiasi inatoshaNinampenda roho yangu, ukinikata kifuani unamkuta amekaa.
Mmefikia wapi bado haujamuua, urithi wali?