Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Nasubiri mrejesho wa baba G kuleta uzi wake siku za usoni,lakini nimpongeze kwa sasa kwa kutuwakilisha vyema
 
Hapa Cha msingi utuambie lini utapasha kipolo na baba wa mtoto au kurudi kabisa hayo mengine ni blablaaa tu
 
Nasubiri mrejesho wa baba G kuleta uzi wake siku za usoni,lakini nimpongeze kwa sasa kwa kutuwakilisha vyema
Tatizo G si level zenu kabisa.
Kachagua mtu sahihi na mimi nimepata mtu sahihi.
Kuhusu hilo msahau kabisa.
 
Uyo jamaa anamoyo sana tatizo wanawake ndo akili hamna utasikia kesho unapasha kiporo

Bullshit
 
Mmmh kuna raia huko Wana kubali single maza..!!!

Mmh haya banaa nileteeni gwajima.

#YNWA
 

Haya mambo ni ya kutunza moyoni.
Ukipata mafanikio usipende kuyatangaza, narudia ukipata mafanikio usianze kuyatangaza.
Ukipata pesa usipige nazo picha maisha yanabadilika.

Humu weka uzi usiozungumzia mafanikio yako kwa kiasi kikubwa, Mkuu unaweza kudhani haujulikani ila watu wanakujua mpaka namba zako wanazo, watu hatupendani kiasi hicho unachofikiria
 
Now mnatimiza miezi mingapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…