Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

miminimama ulianza kwa tambo na mbwembwe nyingi, mrejesho tafadhali.

Ila mambo ya Wanawake ni ya hovyo sanaaa 🤣🤣🤣
 
Hakikisha biashara imesimama kabla mambo hayajaanza kwenda KUSINI,amini amini nakuambia Binadam anakushangaza muda wowote.,
 
Nyie viumbe akili zenu mnazijua wenyewe, kuna wenzako walikula viapo vikubwa zaidi yako ila kilichotokea ni historia
Hapana.
Aisee siyo Mimi huu ni mwaka wa tano Sasa tupo benet.
Penzi kama tumejuana jana.
 
miminimama ulianza kwa tambo na mbwembwe nyingi, mrejesho tafadhali.

Ila mambo ya Wanawake ni ya hovyo sanaaa 🤣🤣🤣
Yalikuwa mambo mageni.
Ila Sasa nimeyazoea ananipenda sana ninampenda sana.
Bado tupo pamoja mambo mazuri na makubwa tumeshafanya na tunategemea kufanya makubwa zaidi.
Kama Mimi nilipata humu mwanaume mwenye mpenzi na tabia nzuri basi hata wewe acha makasiriko utapata mwanamke mzuri, mwenye mapenzi na tabia nzuri.

#miminimamawatajiri#
 
Waaaoh 😍😍😍
Hongera sana kama bado mnadumu.
Mungu aendelee kuwatetea.
 
Wadau itabidi niandike Uzi mwingine naona mnafikiri tumeachanaaa...
Halooo Mimi natajiri anizike yeye au nimzike.
Nampenda sana.
Nayeye ananipenda.
Mimi ndo roho yake.
Tupo sana na tutakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…