Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa dozi ninayopewa hata nguvu na house boy inatoka wap?

Mimi na G.
G na mimi.
Time will tell soon utafungua uzi hapa unalialia
 
Labda ngoja nikuambie ukweli ambao hakuna wa kukuambia!Kama hutaki kurudi tena Misri achana na kuwekeza imani yako,moyo wako,mapenzi yako,muda wako na nguvu zako kwa mwanaume badala yake jikite kwenye kuondoa umasikini wa kipato.Kwenye dunia hii hakuna kinachotesa kama umasikini wa kipato.Mwanaume anaweza kubadilika anytime.
 
True story bro...Siongelei vibaya ila kinachomsibu mtoa mada kwa kuwa hakuwa kwenye situation ya mapenzi for a long time that seems like "infatuation" atleast for my understanding.

Umemshauri vizuri na pia nashauri tu focus katika kujijenga kiuchumi.
IMG_20200929_080728.jpg
 
Labda ngoja nikuambie ukweli ambao hakuna wa kukuambia!Kama hutaki kurudi tena Misri achana na kuwekeza imani yako,moyo wako,mapenzi yako,muda wako na nguvu zako kwa mwanaume badala yake jikite kwenye kuondoa umasikini wa kipato.Kwenye dunia hii hakuna kinachotesa kama umasikini wa kipato.Mwanaume anaweza kubadilika anytime.
Hakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
 
Sijui niandike Nini.
Lakini ni kuwa ninampenzi ananipenda nami nampenda.
Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu.
Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture.

Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda.
Nawewe tupende hivi hivi kila siku.

Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno.
Upendo wako kwetu ni wa hali ya juu.

Ile sentensi ya kuwa "....hii ikisimama hutokuwa na wasiwasi na future ya mtoto..." ilimaanisha vitu vingi sana.

Nakupenda nakupenda nakupenda.

Wengi mtajiuliza huyu dada ni nani?Miminimama ni yule niliyekuwa naandika humu natafuta mume.
Nimepata zaidi ya mume.

Lakini haikuwa safari ya muda mfupi.
Ni safari ya miaka 2 humu.
Humu ndani kuna watu wa aina zote umakini na kutokata tamaa unahitajika.

Kabla ya kuwa "single mom" nilikuwa mwanamke mwenye maono yangu, mfano bora kwa kila mzazi mwenye bint.
Lakini safari yangu ya kuwa mama ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu.
Nilipitia magumu mengi sana.

Mwenyewe G wangu ananiambia unaweza kumpata mwandishi mzuri akaandika vizuri hayo mapito na nikatengeneza pesa.

Miaka 6 kwangu ni kilio tu na majonzi.
Hata wale watu wa karibu yangu ambae wangenipa moyo na ushauri wote waligeuka.

Nilikuwa mimi na mwanangu tu.
Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela.

Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.

Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume.

Just two of us mimi na mwanangu.

No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.

Yaani kila kitu ni negative.
Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari huyu mwanaume ameenda mbali mno na ninajivunia sana na kila siku naomba Mungu amtunze na amlinde.
Ampe umri mrefu.
Kwangu sasa hivi Kuna furaha.
Mtoto wa single mom amepata baba.
"Ninasemelewa kwa baba" siku hizi.

Ninafuraha ya maisha, ni mdada ambae G ananijenga kuwa tajiri si kwamba yeye ni tajiri wa Mali hapana.
Yeye ni tajiri wa moyo ana upendo sana.

Pale nilipoishia miaka 6 nyuma yeye ndo anapoanzia.

Mwanaume anayenipa vingiiiiiiiiiiiiiiiiii na vizuri mno.

Ameituliza akili yangu,amenituliza kitandani amenituliza na mfukoni [emoji385].

Hili ni penzi ambalo nimelisotea miaka mingi sana kulipata.
Nitalitunza na kulienzi siku zote.

Nawaombea wote ambao humu mnatafuta wapenzi kwa dhati mpate.

Ahsante G, ahsante kwa kunionyesha mimi ni mwanamke wa pekee kwako.

Ahsante kwa upendo wako kwetu.

Ahsante kwa kutukumbatia.

Ahsante kwa kurudisha tabasamu na nuru kwangu.

Ahsante kwa kunifuta machozi.

Ahsante kwa kunitengeneza niwe mwanamke wa kipekee na kurudisha ndoto zangu.

Ahsante kwa kuwa nami kwenye kila ninalopitia.

Ahsante kwa penzi lako ni tamu mno.

Ahsante kwa best love making[emoji6] unanifanya nitake mara kwa mara

Ahsante kwa kunifanya niwashwe mda wote[emoji8]
Ahsante kwa kunikuna mda wote kila nikiwashwa.

Ahsante kwa kuniongoza ahsante kwa ubongo wako maana unafanya kazi mno kwa ajili yangu.

Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako.

Ahsante kwa kunilinda.

Ahsante kwa kila kitu baba K wangu .

Nakupenda mno.
Mimi ni wako mpaka kifo kitutenganishe.
Sasa sisteri wataamini vipi kama haya uliyoyaandika ni ya kweli, yaani watu wa humu jf au tuamini tu kwamba ni kweli umepata ?
 
Gosh, you are literally the luckiest woman in the entire world.
This is so wholesome. OMG, what a sweet guy.

Dear OP, I am genuinely happy for you.Wish you guys all the best.
Thank you for sharing.
 
"Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda.
Nawewe tupende hivi hivi kila siku."

"Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako."

Wanaume tutafute hela mchawi hela mbele ya hawa viumbe.

BASI HAKITETEREKA KIUCHUMI HUSIMKIMBIE MANAKE NYIE WENGI WENU,UPENDO WENU NI KIPINDI MVUA NA MAVUNO ILA KIPINDI CHA KIANGAZI,WANAUME MNAWAONA HAWANA MANA.
 
Back
Top Bottom