Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Yaani tukiwaambia humu utukufu wa mwanamke ni kwa mwanaume na ndipo ilipo furaha ya kweli ya mwanamke cariha anasema mfumo dume.
Hongera kwa kumpata Baba yako mheshimu na uyalinde maono yake
😀😀😀😀huyo mdada uliemtaja ana stress za maisha
 
sasa umempenda au ni sponsor wa maisha yako. maana naona unaelezea kama umepata sponsor
 
sasa umempenda au ni sponsor wa maisha yako. maana naona unaelezea kama umepata sponsor
Kwakweli ..huyu kapata sponsor naona atakua alifuata maelekezo ya yule mleta Uzi wa namna ya kumpata sponsor..

Angesifia utu wake na anavyomjali mtoto wake... Lakini yeye kajikita zaidi kwenye pesa...na ajue zinakotoka..

Maana wakina Shamim Mwasha wapo jela kwa sababu ya waume zao kufanya Mambo ya ajabu kupata pesa.
 
😂😂😂😂😂😂 maisha ya ustaa yatawaua wabongo.
 
Usimitishe kurogwa...hata Wewe unaweza kurogwa ukajinyea tu Miaka... Kurogana wanarogana ndugu.. sembuse watu baki.

Mtu yeyote mwenye wivu anaweza kukuroga.. na unaweza ukawa hujawai mfanyia baya
Mshupaze shingo mwenzako
 
Hakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
I'm sure...the power of beliefs will heal you...keep believing dear, Ila usije ukamfanyia unafiki ukarudi ulipotoka UTAJUTAAA...
 
Mshupaze shingo mwenzako
Mkuuu hatuishi maisha haya kwa kuogooa kurogwa... Wewe fanya maisha yako..kwa njia HALALI... Ukisemakila hatua unaogopa kurogwa... Khaaa kalagabahoo
 
Hakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
Mkuuu...umepata mwanaume na lengo lake nikukufanya Wewe kuwa millionaire...Aiseeee huyu kweli umepata

Maana lengo la wengi Ni kutulemaza kikipato ili watutawale vizuri..

Sasa subiria huyo ahadi itimie ya kufanywa millionaire... KUWA NA SUBIRA USIKATE TAMAA MAPEMA.
 
Sisi waswahili wenye roho ya korosho na kijiba cha roho twasema hivi, "mtaachana tu".
 
Mkuu uko desperate Sana, usifurahie tu pesa usizojua jamaa kazipata wapi na kwa njia gani. Hizi tabia za kutaka ready made, zimeponza wengi usijejikuta unakuwa mbuzi wa kafara wewe na mwanao kwa ajili ya umilionnaire. Watch out in prayers. Kila la kheri.
Ninajua pesa anazipata wapi.
Ni pesa Safi kabisa na zinalipiwa Kodi na fungu la kumi.
Kuna wakati ili mbarikiwe mnatakiwa mfurahie furaha za wengine.
 
Anajifariji tu, hela zina mapito ila upendo wa kweli hauishi. Yeye kavutiwa na pesa za kidume ila siku zikikata jua itakula kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chief huyu kabarikiwa upendo na kabarikiwa na hela pia.
Sasa kwa nini unataka nipende kimoja?
Ananipa furaha na amani.
Upendo wake hauelezeki.
 
Chief huyu kabarikiwa upendo na kabarikiwa na hela pia.
Sasa kwa nini unataka nipende kimoja?
Ananipa furaha na amani.
Upendo wake hauelezeki.
Kama ni hilo kweli basi hongera zake zimfikie
 
Back
Top Bottom