Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa dozi ninayopewa hata nguvu na house boy inatoka wap?

Mimi na G.
G na mimi.
Time will tell soon utafungua uzi hapa unalialia
 
Labda ngoja nikuambie ukweli ambao hakuna wa kukuambia!Kama hutaki kurudi tena Misri achana na kuwekeza imani yako,moyo wako,mapenzi yako,muda wako na nguvu zako kwa mwanaume badala yake jikite kwenye kuondoa umasikini wa kipato.Kwenye dunia hii hakuna kinachotesa kama umasikini wa kipato.Mwanaume anaweza kubadilika anytime.
 
True story bro...Siongelei vibaya ila kinachomsibu mtoa mada kwa kuwa hakuwa kwenye situation ya mapenzi for a long time that seems like "infatuation" atleast for my understanding.

Umemshauri vizuri na pia nashauri tu focus katika kujijenga kiuchumi.
 
Hakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
 
Sasa sisteri wataamini vipi kama haya uliyoyaandika ni ya kweli, yaani watu wa humu jf au tuamini tu kwamba ni kweli umepata ?
 
Gosh, you are literally the luckiest woman in the entire world.
This is so wholesome. OMG, what a sweet guy.

Dear OP, I am genuinely happy for you.Wish you guys all the best.
Thank you for sharing.
 
"Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda.
Nawewe tupende hivi hivi kila siku."

"Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako."


Wanaume tutafute hela mchawi hela mbele ya hawa viumbe.

BASI HAKITETEREKA KIUCHUMI HUSIMKIMBIE MANAKE NYIE WENGI WENU,UPENDO WENU NI KIPINDI MVUA NA MAVUNO ILA KIPINDI CHA KIANGAZI,WANAUME MNAWAONA HAWANA MANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…