Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hawa akina G Ni kina nan haswa maana huko Twitter Kuna manka mmoja amemtamkia Waz G wa wasaf fm fundi wa kuchambua mpira a.k.a kipute ,kijana wa kinyakyusa kule green city Kuna anamzimia balaa,au ndio ww manka.
Si huyo.
Lakini inaonesha wakina G hawanaga shoo mbovu
 
afu single mother wengi hawana mapenzi ya kweli bali wanafuta wanaume wa kuwalelea watoto zao
Unajua jinsi gani kwa mtoto inavyomsumbua kuona watoto wenzie wana baba yeye Hana?unajua ugumu was kulea mtoto bila father figure?unajua majonzi ya kulea mtoto pekee.

Ukiacha ubinafsi na roho mbaya ungefurahi kuona mtoto huyu amepata baba.
Naungewaombea single mom wote wapate wanaume kama G.
 
Hamna kitu hapa tushajua kisa tajira

Ila single mother huwa mnaficha makucha yenu kwa mda baadae hamkawihi kurarua MTU

Anyway hongera
Ngoja nikusaidie single mom ilikuwa zamani.
Sasa hivi ni miminimama wa G.
 
Mkuu...Wewe mwenyewe umesisitiza Sana pesa... Kuwa anakupa pesa.. na lengo lake Ni kukufanya millionaire.
Siyo nasisitiza.
Bali huo ni ukweli.
Angeweza kunipa pesa bila upendo tu.
Ikatosha lakini ananipa vingiiiiiiiiii mno.
 
Umaskini mbaya Sana.!!
Tuhakikishe watoto wetu hawaangukii kwenye umaskini wa kuja kujuta.
Huyu dada angekuwa na kazi inayomfanya akaishi hii stori isingekuwa hivi.
 
Hakuna anaechukia furaha yako Mkuu... Ila huo ushuhuda Hebu peleka kanisani... Lakini baada ya ndoa.
Dini, Mungu huwa anasingiziwa mengi sana.
Sina haja ya kumzonga zonga kuhusu kunioa.
Wakati ukifika atafanya.
Lakini kwa sasa acha nifurahie.
 
Umaskini mbaya Sana.!!
Tuhakikishe watoto wetu hawaangukii kwenye umaskini wa kuja kujuta.
Huyu dada angekuwa na kazi inayomfanya akaishi hii stori isingekuwa hivi.
Ulikuwa wapi kunipa kazi niondokane na umaskini?

Ila G kunipa vyote imekuwa shida.

Kuzaliwa maskini so chaguo langu.
Na hao watoto wako unaweza kuwaandalia kila kitu na mkapoteza kila kitu ndani ya siku moja.
 
Sasa uachane na sim yake. Sisi wanaume sim zetu zikiachwa tunakuwa na amani na furaha majumbani mwetu.
 
Worry out my love,
Umeamua hadi kuni thread,duuh.
Sikujua km umedata na mm kiivyo.
Mm na ww mpk Juuu juuu juu sana.
 
Na kibaya zaidi wanawake akiwa Hana pesa hata hamu ya mapenzi inamuishia.
Ukishamjaza pesa akashiba ndio hamu inaongezeka anaanza kukumbuka na namna waliotangulia walivyokuwa wanamkuna.
 
Worry out my love,
Umeamua hadi kuni thread,duuh.
Sikujua km umedata na mm kiivyo.
Mm na ww mpk Juuu juuu juu sana.
Eti wanasema ni pesa zako tu zinanichanganya.
Unaliongeleaje hili?
 
Sasa uachane na sim yake. Sisi wanaume sim zetu zikiachwa tunakuwa na amani na furaha majumbani mwetu.
Ninajitahidi kwenye hilo
Maana hata yeye hashiki simu yangu.
Ninampa space ya kutosha na amani.
 
Na kibaya zaidi wanawake akiwa Hana pesa hata hamu ya mapenzi inamuishia.
Ukishamjaza pesa akashiba ndio hamu inaongezeka anaanza kukumbuka na namna waliotangulia walivyokuwa wanamkuna.
Kumbe ulishakutana na wanawake maskini na wasio na pesa?

Na bado ukawaaacha hivyo hivyo?
Unaona sasa tofauti yako na G?
 
Back
Top Bottom