Blackman
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 836
- 312
hapana we mke wa huyo ulozaa naeNdiyo.
Na Mimi ni mke wa G.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana we mke wa huyo ulozaa naeNdiyo.
Na Mimi ni mke wa G.
Hii inawezekana kweli ? ..Duh mm cjui nafeli wapi kupata Kama huyo wa zawadi kwa mama yanguUzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.
Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
Eeeh mbona unashashangaa vitu vya kawaida? Utampata bora uzima.Hii inawezekana kweli ? ..Duh mm cjui nafeli wapi kupata Kama huyo wa zawadi kwa mama yangu
Kwa mwandiko huo ni wazi kuwa unajifariji tu, ila usikate tamaa mlee mwanao katika maadili mema.
Unancheksha.hapana we mke wa huyo ulozaa nae
Sijui ni mimi tu ama, maana kila nikisoma napata jibu kuwa KUMBE ULIKUWA UNATAFUTA "AJIRA" NA SIO "MUME".Nilipitia magumu mengi sana.
Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela. Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.
Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume.
No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.
Yaani kila kitu ni negative. Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari.
Kwani wewe hujaolewa???Uzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.
Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
Si upropose kwake tu?Iwe nikitaka kuoa nitamleta mke mtarajiwa kwako aje kupata ABC za kuishi na mimi.
Mnasemaga hivyo baadae mtoto akifanikiwa mnawaua ili mfaidi na baba halisi wa mtotoSijui niandike nini.
Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture.
Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno. Upendo wako kwetu ni wa hali ya juu.
Ile sentensi ya kuwa "....hii ikisimama hutokuwa na wasiwasi na future ya mtoto..." ilimaanisha vitu vingi sana.
Nakupenda nakupenda nakupenda.
Wengi mtajiuliza huyu dada ni nani?Miminimama ni yule niliyekuwa naandika humu natafuta mume.
Nimepata zaidi ya mume.
Lakini haikuwa safari ya muda mfupi. Ni safari ya miaka 2 humu. Humu ndani kuna watu wa aina zote umakini na kutokata tamaa unahitajika.
Kabla ya kuwa "single mom" nilikuwa mwanamke mwenye maono yangu, mfano bora kwa kila mzazi mwenye bint. Lakini safari yangu ya kuwa mama ilibadilisha kila kitu kwenye maisha yangu. Nilipitia magumu mengi sana.
Mwenyewe G wangu ananiambia unaweza kumpata mwandishi mzuri akaandika vizuri hayo mapito na nikatengeneza pesa.
Miaka 6 kwangu ni kilio tu na majonzi. Hata wale watu wa karibu yangu ambae wangenipa moyo na ushauri wote waligeuka.
Nilikuwa mimi na mwanangu tu. Embu fikiria hii mtoto anaumwa unamtumia msg baba wa mtoto kuwa anaumwa hakujibu kupiga simu anajibu sina hela. Lakini just a stranger anakupelekea mtoto hospital, anampeleka shule tena si shule tu ni shule bora kabisa.
Maisha yalikuwa tofauti na magumu mno kabla kumpata huyu mwanaume. Just two of us mimi na mwanangu.
No happiness.
No career.
No food.
No shelter.
No clothes.
No money.
No love.
Yaani kila kitu ni negative. Lakini boom unampata mwanaume ambae anakupa kila kitu na kila kitu kinakuwa kwenye mstari huyu mwanaume ameenda mbali mno na ninajivunia sana na kila siku naomba Mungu amtunze na amlinde.
Ampe umri mrefu. Kwangu sasa hivi Kuna furaha. Mtoto wa single mom amepata baba. "Ninasemelewa kwa baba" siku hizi.
Ninafuraha ya maisha, ni mdada ambae G ananijenga kuwa tajiri si kwamba yeye ni tajiri wa Mali hapana. Yeye ni tajiri wa moyo ana upendo sana.
Pale nilipoishia miaka 6 nyuma yeye ndo anapoanzia. Mwanaume anayenipa vingiiiiiiiiiiiiiiiiii na vizuri mno. Ameituliza akili yangu,amenituliza kitandani amenituliza na mfukoni [emoji385].
Hili ni penzi ambalo nimelisotea miaka mingi sana kulipata. Nitalitunza na kulienzi siku zote. Nawaombea wote ambao humu mnatafuta wapenzi kwa dhati mpate.
Ahsante G, ahsante kwa kunionyesha mimi ni mwanamke wa pekee kwako. Ahsante kwa upendo wako kwetu. Ahsante kwa kutukumbatia. Ahsante kwa kurudisha tabasamu na nuru kwangu. Ahsante kwa kunifuta machozi. Ahsante kwa kunitengeneza niwe mwanamke wa kipekee na kurudisha ndoto zangu.
Ahsante kwa kuwa nami kwenye kila ninalopitia. Ahsante kwa penzi lako ni tamu mno. Ahsante kwa best love making[emoji6] unanifanya nitake mara kwa mara. Ahsante kwa kunifanya niwashwe mda wote[emoji8]. Ahsante kwa kunikuna mda wote kila nikiwashwa.
Ahsante kwa kuniongoza ahsante kwa ubongo wako maana unafanya kazi mno kwa ajili yangu. Ahsante kwa pesa zako zote unazonipa na unazoendelea kunipa kila siku nakuombea ubarikiwe zaidi na zaidi na uwe tajiri Kama ulivyo moyo wako. Ahsante kwa kunilinda. Ahsante kwa kila kitu baba K wangu .
Nakupenda mno. Mimi ni wako mpaka kifo kitutenganishe.
Hatimaye mdogo wake G nimekuonaHana mdogo wake na mimi nipate wangu[emoji18][emoji18]
😆😆Kwani wewe hujaolewa???
Usinicheke....
🤐🙄🙄Usinicheke....
everything was right, untill ulipo sema "mm ni mwanamke wa pekeyako"Sijui niandike nini.

Nauliza tena, kweli hujaolewa?.........
Hayo ni mawazo dumavu, si kila ke ana akili ya kushikiwaTatizo la wanawake ukishamzoea utachepuka tu tena na house boy wenu