robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipoš
Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu.
Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni mgumu sana.
Kila la kheri wote mnaojiandaa. Amini huu usaili upo wazi na hamna upendeleo hivyo kafanye kwa uwezo wako.
Kwani maneno ya watu juu ya upendeleo yalinipotosha ila kwa sasa nimeona uwazi toka naanz mtihani mpka nashudia matokeo.