Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ndio, sasa ukipinga usaili unazidi kujichimbia kaburi so n bora ukubaliane na hali ilivyoSasa kumbe akuna faida ya kutokupinga mana upinge usipinge unakandwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, sasa ukipinga usaili unazidi kujichimbia kaburi so n bora ukubaliane na hali ilivyoSasa kumbe akuna faida ya kutokupinga mana upinge usipinge unakandwa tu
Iyo 74 umeiona kwenye Aya ipi mbona sjaona aliposema amepata 74%?Nimekuona mkuu. Sasa wamekuandikia 74% imepatikanaje? Maana maswali yalikuwa 25 it means 4% katika Kila swali. Je hiyo 74% waliyokuandika wameitoa wapi?
Huwezi elewa kama unajibu kichawa chawaIyo 74 umeiona kwenye Aya ipi mbona sjaona aliposema amepata 74%?
Kwenye maswali ya kuchagua, inawezekana vipi?Huyo wa.74% itakuwa kapata kwa usahihi maswali 18 na swali la 19 marks 2,, na mengine yoote kapata 0 , ikiwa ni nadharia bora na chanya zaidi unayoweza wazia juu yake
Si ndiyo hapo Sasa. Utumishi watolee ufafanuzi wa jambo hili. Tofauti na hapo watakuwa wanajali perdiem zao tu. Na wanaonekana wamejawa na furaha kweli kweli sijuwi perdiem wanalipwaje.Kwenye maswali ya kuchagua, inawezekana vipi?
Sasa aina aja ya kukejeri wengine wakati ata wewe unakandwa TU ni vema ukawaacha wateme nyongo zao.Ndio, sasa ukipinga usaili unazidi kujichimbia kaburi so n bora ukubaliane na hali ilivyo
Tatizo wanatema nyongo kwa kitu ambacho ht mm mara ya kwanza nilitema nyongo ila baada ya kujua mambo yanavyokwenda ndipo nilipoacha kutema nyongo na ndio nawaambia ukweli ambao hata Mm niliambiwa ila wao tatizo hawataki kukubaliana na matokeo bali wanaona wanaonewaSasa aina aja ya kukejeri wengine wakati ata wewe unakandwa TU ni vema ukawaacha wateme nyongo zao.
Hv wakati unasoma haujawahi kuona mtu anapewa nusu marks, mfano kwenye hesabu unaweza ukawa umepatia jibu lkn njia ukawa umekosea hapo utapewaje marks?Nimekuona mkuu. Sasa wamekuandikia 74% imepatikanaje? Maana maswali yalikuwa 25 it means 4% katika Kila swali. Je hiyo 74% waliyokuandika wameitoa wapi?
Ndo mana nakupenda daddie una akili sanaTatizo wanatema nyongo kwa kitu ambacho ht mm mara ya kwanza nilitema nyongo ila baada ya kujua mambo yanavyokwenda ndipo nilipoacha kutema nyongo na ndio nawaambia ukweli ambao hata Mm niliambiwa ila wao tatizo hawataki kukubaliana na matokeo bali wanaona wanaonewa
Hongera ulifanya huo mtihani?Kwenye maswali ya kuchagua, inawezekana vipi?
Maswali ya kuchagua uwe na nusu marks kweli??Hv wakati unasoma haujawahi kuona mtu anapewa nusu marks, mfano kwenye hesabu unaweza ukawa umepatia jibu lkn njia ukawa umekosea hapo utapewaje marks?