Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221

Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭

Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu.

Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni mgumu sana.

Kila la kheri wote mnaojiandaa. Amini huu usaili upo wazi na hamna upendeleo hivyo kafanye kwa uwezo wako.

Kwani maneno ya watu juu ya upendeleo yalinipotosha ila kwa sasa nimeona uwazi toka naanz mtihani mpka nashudia matokeo.
 
Nimekuona mkuu. Sasa wamekuandikia 74% imepatikanaje? Maana maswali yalikuwa 25 it means 4% katika Kila swali. Je hiyo 74% waliyokuandika wameitoa wapi?
 
Hongera mwl robby
 
Hivi hapa juzi kati mlikuwa hamfanyiwi usaili mnapangiwa moja kwa moja?
 
Nimekuona mkuu. Sasa wamekuandikia 74% imepatikanaje? Maana maswali yalikuwa 25 it means 4% katika Kila swali. Je hiyo 74% waliyokuandika wameitoa wapi?
Huyo wa.74% itakuwa kapata kwa usahihi maswali 18 na swali la 19 marks 2,, na mengine yoote kapata 0 , ikiwa ni nadharia bora na chanya zaidi unayoweza wazia juu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…