SAMAHANI MKUU JINA LAKO LINATAMKWA VPKwema humu???!
Baada ya kufutiwa account ya Yna4 hatimae nimerudi tena..siku mbili bila JF wallah homa ilikua yaninyemelea.
Ila kama kuna mtu aliamua kutengeneza email na kuwafuata mods kuwaambia wafute account yangu..yote kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuzoom avatar yake utaona uzito wake mzee baba.Ulifanya nini? Lini? Unauzito gani humu jf
Funguka mkuu sisi wengine hatukujui
swali zuri ukijibiwa nishtue na mimiUlifanya nini? Lini? Unauzito gani humu jf
Funguka mkuu sisi wengine hatukujui
Kwa kweli
Umaarufu wake ni kuvaa nguo Nyekundu?Jaribu kuzoom avatar yake utaona uzito wake mzee baba.
Hiyo sababu id yake ilifutwa ?Punguza kudanga
Sijawahi vunja sheria za humu mkuuJaribu kufuata yale utakiwayo kuyafuata lasivyo utajiona unadamu ya kunguni
Sent using Jamii Forums mobile app