Ulikutwa na hatia gani hadi ukafutiwa account/ID?
Sikufanya loloteUlifanya nini? Lini? Unauzito gani humu jf
Funguka mkuu sisi wengine hatukujui
Sikufanya loloteUlifanya nini? Lini? Unauzito gani humu jf
Funguka mkuu sisi wengine hatukujui
Umeandika kitu gani?Aah
In this life there are two things either you adapt if not you have choosen to perish... think
Ukimya haunaga hasaraUmaarufu wake ni kuvaa nguo Nyekundu?
Daby sitaki kuamini!
Sikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyoUlikutwa na hatia gani hadi ukafutiwa account/ID?
Kumbee.Sikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo sijafuatilia..kwahiyo sijui kama yawezekana au lah!Kumbee.
Mbona kuna watu huwa wanaomba kufutiwa account humu kwa kuanzisha uzi na hawafutiwagi.
Kwa hiyo wakitumiwa kwa email ndio wanatekeleza.
Pia haijawezekana kuisajili tena ile waliyoifuta?
Dah! Huko ndio kunaitwa kudukuliwa yna2. Pole sana, maana nilikua najiuliza kwa lipi hasa wafute a/c yako?Sikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo mambo yalivyo ndugu yanguDah! Huko ndio kunaitwa kudukuliwa yna2. Pole sana, maana nilikua najiuliza kwa lipi hasa wafute a/c yako?
Mwenyewe maneno yako mafupi, maranyingi sentensi moja na vicheko vya furaha. Anyways maisha yendelee, karibu tena na uwe mwangalifu