Hatimaye nimerudi mjengoni

Hatimaye nimerudi mjengoni

Sikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbee.

Mbona kuna watu huwa wanaomba kufutiwa account humu kwa kuanzisha uzi na hawafutiwagi.

Kwa hiyo wakitumiwa kwa email ndio wanatekeleza.

Pia haijawezekana kuisajili tena ile waliyoifuta?
 
Sikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Huko ndio kunaitwa kudukuliwa yna2. Pole sana, maana nilikua najiuliza kwa lipi hasa wafute a/c yako?

Mwenyewe maneno yako mafupi, maranyingi sentensi moja na vicheko vya furaha. Anyways maisha yendelee, karibu tena na uwe mwangalifu
 
Ndivyo mambo yalivyo ndugu yangu

Ahsante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom