Hatimaye nimerudiana na mpenzi tulieachana naye



Baada ya kumfikia nikashika rasta zake kwa ubunifu wa hali ya juu; alihisi kama mwili umepigwa ganzi na vinyweleo vya mwili wake kusimama.
Ndiyo alivyokwambia? Au hadithi zimeshakuharibu?

Alipogeuka, akakutana na sura yangu; alichokifanya ni kunikumbatia na kuanza kubadilishana ndimi huku akilia.​
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ndipo nikamwambia, ''the man is back''; hapo alianza kulia zaidi huku tukiwa tumekumbatiana.​
Dah๐Ÿ˜…

Baada ya muda tukatoka naye kidogo, angalau kwenda kumchangamsha kidogo ili awe sawa.

Baada ya kama dakika 45 tukawa tumerudi na kuendelea na mitungi pamoja na kucheza mziki.

Kwa sasa tupo pamoja, ni shoo shoo tu.​
 
Kasheshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ