Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Maadili hayaruhusu 😀Nilikuwa nasubiri hiko kipande, kielezee kwa ustadi wa hali ya juu tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadili hayaruhusu 😀Nilikuwa nasubiri hiko kipande, kielezee kwa ustadi wa hali ya juu tafadhali
Vingapi?Shwaaaa
uwezo wako tuVingapi?
sitaki maelezo aseee vip bwanUsije ukaomba maji tu 😀 😀
hapa ni vitendo tu, hakuna kuongeasitaki maelezo aseee vip bwan
Twende kazihapa ni vitendo tu, hakuna kuongea
naogopa kuchafua nguo, sina mtu wakunisaidia kufua 😀Twende kazi
Nitafua bwannaogopa kuchafua nguo, sina mtu wakunisaidia kufua 😀
Aya zama ndaniNitafua bwan
🏃🏾♀️🚶🏾♀️🤼♀️Aya zama ndani
we ka hutaki naenda zangu mieWe una tabia mbaya 😀 😀 😀
Ama kweli we ni baharia 😀we ka hutaki naenda zangu mie
Tuendelee kuzilinda 🙏🙏Uko sahihi, afya njema ndio mtaji
Porojo miiingi hadi stimu znakata mxiuuuAma kweli we ni baharia 😀
Kilichonifuraisha ni jinsi ulivokua unasoma mawazo yake .Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku.
Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa.
Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana naye; akawa ameniona ila mimi sikumuona.
Kutokana na uwepo wangu pale, yule bibie akawa anavuta kumbukumbu ya mahusiano yetu yalivyo kuwa, ingawa hakupata ujasiri wa kunifuata nilipokuwa.
Bila kujua hili wala lile, nikalipa bili yangu na kuamua kuondoka; ilipofika usiku nikaamua kwenda kiwanja kimoja chenye 'vibe' kali, ambacho nilikuwa nikienda na bibie.
Baada ya kufika pale, mhudumu akanisogezea meza pamoja na vinywaji vyangu ninavyovipenda.
Baada ya kufika saa sita usiku, naona na bibie akiwa na wenzake wakaingia huku yeye akiwa amevaa kipedo cheupe na shati la maua maua.
Kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukienda naye kwenye kile kiwanja wahudumu walishamkariri; ndipo mhudumu mmoja akamwambia equation x yupo pale.
Bibie akamjibu, '' nimeshamuona ila leo nimekuja na wenzangu'', nami nikavunga kama vile sijamuona. Nikaendelea kupiga mvinyo taratibu.
Muda unavyozidi kwenda, bibie akawa anazidi kulewa zaidi kutokana na mawazo, pia akawa anacheza mziki katika mazingira ya kumshawishi mwanaume yeyote, ukichangia na chura aliyonayo.
Ilipofika majira ya saa nane usiku, ndipo nilipoamua kuchukua ujasiri wa kiume na kunyanyuka nilipokuwa nimekaa na kumfuata nyuma bila yeye kujua.
Baada ya kumfikia nikashika rasta zake kwa ubunifu wa hali ya juu; alihisi kama mwili umepigwa ganzi na vinyweleo vya mwili wake kusimama.
Alipogeuka, akakutana na sura yangu; alichokifanya ni kunikumbatia na kuanza kubadilishana ndimi huku akilia.
Ndipo nikamwambia, ''the man is back''; hapo alianza kulia zaidi huku tukiwa tumekumbatiana.
Baada ya muda tukatoka naye kidogo, angalau kwenda kumchangamsha kidogo ili awe sawa.
Baada ya kama dakika 45 tukawa tumerudi na kuendelea na mitungi pamoja na kucheza mziki.
Kwa sasa tupo pamoja, ni shoo shoo tu.
Usinipigie simu usiku, nitakuwa kwenye kazi maalumuPorojo miiingi hadi stimu znakata mxiuuu
Baada ya kuwa naye faragha akawa ananielezea hali yote aliyoipitia 😀Kilichonifuraisha ni jinsi ulivokua unasoma mawazo yake .
Mpk kuna muda yeye kakuona we ujamuona
We equation umeniacha na maquestions kibao
Sawa sawa naelewa mbonUsinipigie simu usiku, nitakuwa kwenye kazi maalumu