Hatimaye nimerudiana na mpenzi tulieachana naye

Hakika Vijana mnafaidi 🙌

Ila kuwa makini Exy wengi huwa ni chanzo cha maradhi unless mlipima kabla hamjaendelea na hiyo shoo shoo
Umakini ni muhimu mkuu; yeye ni mjamzito ingawa ananihofia labda mimi ndio mchepukaji ingawa sio, na huwa anapima mara kwa mara bila uwoga wowote.​
 
Hapo sawa

Suala la kujali afya liwe kipaumbele chenu

Kwa hali ya sasa kuanza kupewa masharti ya nini ule ama usile wakati hujafika hata miaka 45 itokee Kwa bahati mbaya tu
 
Uko sahihi, afya njema ndio mtaji
 
Back
Top Bottom