Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha, safi sana na imekaa vzr sana hy,kila la kheriKweli mkuu, hapa tunajiandaa kwa mtoko huu wa 8.8 angalau tukaonje vimbavu viwili vya mbuzi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha, safi sana na imekaa vzr sana hy,kila la kheriKweli mkuu, hapa tunajiandaa kwa mtoko huu wa 8.8 angalau tukaonje vimbavu viwili vya mbuzi 😀
Mkuu, kama tunaweza kuzigeuza zikawa hela, nipe ushirikiano wako. Hela ni muhimu 😀mimi namuhesabia episodes
Shukrani sanaHahahahaha, safi sana na imekaa vzr sana hy,kila la kheri
Na jua lote hili aseeee,,hata nyasi sikumbatii😁Nitashangaa, wakati hapo umekikumbatia kitoto kidogo chenye meno makali yanayong'ata 😀
Zinafundisha na zinaburudisha piaSEASON 2 HEKAYA ZA EQUATION X
Unapigwa upepo wa eisii kidogo huku mambo mengine yakiendelea 😀😀😀Na jua lote hili aseeee,,hata nyasi sikumbatii😁
Jina la kitabu tafadhali.Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku.
Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa.
Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana naye; akawa ameniona ila mimi sikumuona.
Kutokana na uwepo wangu pale, yule bibie akawa anavuta kumbukumbu ya mahusiano yetu yalivyo kuwa, ingawa hakupata ujasiri wa kunifuata nilipokuwa.
Bila kujua hili wala lile, nikalipa bili yangu na kuamua kuondoka; ilipofika usiku nikaamua kwenda kiwanja kimoja chenye 'vibe' kali, ambacho nilikuwa nikienda na bibie.
Baada ya kufika pale, mhudumu akanisogezea meza pamoja na vinywaji vyangu ninavyovipenda.
Baada ya kufika saa sita usiku, naona na bibie akiwa na wenzake wakaingia huku yeye akiwa amevaa kipedo cheupe na shati la maua maua.
Kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukienda naye kwenye kile kiwanja wahudumu walishamkariri; ndipo mhudumu mmoja akamwambia equation x yupo pale.
Bibie akamjibu, '' nimeshamuona ila leo nimekuja na wenzangu'', nami nikavunga kama vile sijamuona. Nikaendelea kupiga mvinyo taratibu.
Muda unavyozidi kwenda, bibie akawa anazidi kulewa zaidi kutokana na mawazo, pia akawa anacheza mziki katika mazingira ya kumshawishi mwanaume yeyote, ukichangia na chura aliyonayo.
Ilipofika majira ya saa nane usiku, ndipo nilipoamua kuchukua ujasiri wa kiume na kunyanyuka nilipokuwa nimekaa na kumfuata nyuma bila yeye kujua.
Baada ya kumfikia nikashika rasta zake kwa ubunifu wa hali ya juu; alihisi kama mwili umepigwa ganzi na vinyweleo vya mwili wake kusimama.
Alipogeuka, akakutana na sura yangu; alichokifanya ni kunikumbatia na kuanza kubadilishana ndimi huku akilia.
Ndipo nikamwambia, ''the man is back''; hapo alianza kulia zaidi huku tukiwa tumekumbatiana.
Baada ya muda tukatoka naye kidogo, angalau kwenda kumchangamsha kidogo ili awe sawa.
Baada ya kama dakika 45 tukawa tumerudi na kuendelea na mitungi pamoja na kucheza mziki.
Kwa sasa tupo pamoja, ni shoo shoo tu.
eisii wapi mkuu,,nipo na hili jua hadi linazama huku nikifyatua tufali taratiiiibu 😊😊apa npo napata ugali maharage nirud mzigoniUnapigwa upepo wa eisii kidogo huku mambo mengine yakiendelea 😀😀😀
mtoto laini utafanyaje kazi nzito hizo? 😀 😀eisii wapi mkuu,,nipo na hili jua hadi linazama huku nikifyatua tufali taratiiiibu 😊😊apa npo napata ugali maharage nirud mzigoni
ndo zina hela nyingi balaamtoto laini utafanyaje kazi nzito hizo? 😀 😀
Kama ni kweli nakupa pongezi sanando zina hela nyingi balaa

Asante sana mkuuKama ni kweli nakupa pongezi sana![]()
Pata kreti ya lubisi kwa hisani ya wana jf woteAsante sana mkuu
siijui ila soda itapendezaPata kreti ya lubisi kwa hisani ya wana jf wote
Soda si nzuri kwa afya yako 😀siijui ila soda itapendeza
Huyu ni kata mti panda mti, usimzingatie sanaukute hata mpenz huna maskini mweeee
Labda wewe mwenye kisukariSoda si nzuri kwa afya yako 😀