Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Wazo zuri sana hili, ebu nipatie huo mchongo.Hivi visa vyako vitengenezee movie ukaiuze netflix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri sana hili, ebu nipatie huo mchongo.Hivi visa vyako vitengenezee movie ukaiuze netflix
Baada ya kumleta nyumbani, akanieleza hali haliyokuwa akipitia tulipoachana na tulipoonana.Kwamba mwili wa mpenzi wako ukapigwa na ganzi na vinyweleo kusimama 😂😂😂
Kwani wewe upo kwenye mwili wake hadi upate hizo hisia ? 😄😄😄😄
Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku.
Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa.
Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana naye; akawa ameniona ila mimi sikumuona.
Kutokana na uwepo wangu pale, yule bibie akawa anavuta kumbukumbu ya mahusiano yetu yalivyo kuwa, ingawa hakupata ujasiri wa kunifuata nilipokuwa.
Bila kujua hili wala lile, nikalipa bili yangu na kuamua kuondoka; ilipofika usiku nikaamua kwenda kiwanja kimoja chenye 'vibe' kali, ambacho nilikuwa nikienda na bibie.
Baada ya kufika pale, mhudumu akanisogezea meza pamoja na vinywaji vyangu ninavyovipenda.
Baada ya kufika saa sita usiku, naona na bibie akiwa na wenzake wakaingia huku yeye akiwa amevaa kipedo cheupe na shati la maua maua.
Kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukienda naye kwenye kile kiwanja wahudumu walishamkariri; ndipo mhudumu mmoja akamwambia equation x yupo pale.
Bibie akamjibu, '' nimeshamuona ila leo nimekuja na wenzangu'', nami nikavunga kama vile sijamuona. Nikaendelea kupiga mvinyo taratibu.
Muda unavyozidi kwenda, bibie akawa anazidi kulewa zaidi kutokana na mawazo, pia akawa anacheza mziki katika mazingira ya kumshawishi mwanaume yeyote, ukichangia na chura aliyonayo.
Ilipofika majira ya saa nane usiku, ndipo nilipoamua kuchukua ujasiri wa kiume na kunyanyuka nilipokuwa nimekaa na kumfuata nyuma bila yeye kujua.
Baada ya kumfikia nikashika rasta zake kwa ubunifu wa hali ya juu; alihisi kama mwili umepigwa ganzi na vinyweleo vya mwili wake kusimama.
Alipogeuka, akakutana na sura yangu; alichokifanya ni kunikumbatia na kuanza kubadilishana ndimi huku akilia.
Ndipo nikamwambia, ''the man is back''; hapo alianza kulia zaidi huku tukiwa tumekumbatiana.
Baada ya muda tukatoka naye kidogo, angalau kwenda kumchangamsha kidogo ili awe sawa.
Baada ya kama dakika 45 tukawa tumerudi na kuendelea na mitungi pamoja na kucheza mziki.
Kwa sasa tupo pamoja, ni shoo shoo tu.
Mungu ni mkubwa ameniepusha huko kote, ananipatia zawadi za watoto tuNitaanzisha Uzi wa kupata HIV kimasihara
Ukiwa na miaka 25+ huna mpenzi, huo ni ulemavuukute hata mpenz huna maskini mweeee
kwaio unawashauri nini wanaume wenzioUkiwa na miaka 25+ huna mpenzi, huo ni ulemavu
Watakuachaje mtoto mzuri kama wewe uendelee kuteseka wakati unahitaji matunzo?kwaio unawashauri nini wanaume wenzio
Mimi sijaachwa mheshimiwaWatakuachaje mtoto mzuri kama wewe uendelee kuteseka wakati unahitaji matunzo?
Malaya huyo kutwa sehemu za starehe
Kwa hiyo ulipiga chini huku unamuhusudu?Ukweli mkuu, hapa najiandaa tukamalizie 8.8 na mtoto mzuri
Mwanaume/mwanamke aliyekamilika hakiachana na mpenzi wake aliempenda sana, nafsi huwa inaumia.Kwa hiyo ulipiga chini huku unamuhusudu?
Ndiyo nyie huwaga mnaua wapenzi wa ma x zenu.
shda ako nkubali nmeachwa sioTutajuaje 😀 😀
SEASON 2 HEKAYA ZA EQUATION XIlikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku.
Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili mwili ukae sawa.
Katika lile chimbo, kwa bahati mbaya alikuwepo yule mpenzi wangu tulie achana naye; akawa ameniona ila mimi sikumuona.
Kutokana na uwepo wangu pale, yule bibie akawa anavuta kumbukumbu ya mahusiano yetu yalivyo kuwa, ingawa hakupata ujasiri wa kunifuata nilipokuwa.
Bila kujua hili wala lile, nikalipa bili yangu na kuamua kuondoka; ilipofika usiku nikaamua kwenda kiwanja kimoja chenye 'vibe' kali, ambacho nilikuwa nikienda na bibie.
Baada ya kufika pale, mhudumu akanisogezea meza pamoja na vinywaji vyangu ninavyovipenda.
Baada ya kufika saa sita usiku, naona na bibie akiwa na wenzake wakaingia huku yeye akiwa amevaa kipedo cheupe na shati la maua maua.
Kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukienda naye kwenye kile kiwanja wahudumu walishamkariri; ndipo mhudumu mmoja akamwambia equation x yupo pale.
Bibie akamjibu, '' nimeshamuona ila leo nimekuja na wenzangu'', nami nikavunga kama vile sijamuona. Nikaendelea kupiga mvinyo taratibu.
Muda unavyozidi kwenda, bibie akawa anazidi kulewa zaidi kutokana na mawazo, pia akawa anacheza mziki katika mazingira ya kumshawishi mwanaume yeyote, ukichangia na chura aliyonayo.
Ilipofika majira ya saa nane usiku, ndipo nilipoamua kuchukua ujasiri wa kiume na kunyanyuka nilipokuwa nimekaa na kumfuata nyuma bila yeye kujua.
Baada ya kumfikia nikashika rasta zake kwa ubunifu wa hali ya juu; alihisi kama mwili umepigwa ganzi na vinyweleo vya mwili wake kusimama.
Alipogeuka, akakutana na sura yangu; alichokifanya ni kunikumbatia na kuanza kubadilishana ndimi huku akilia.
Ndipo nikamwambia, ''the man is back''; hapo alianza kulia zaidi huku tukiwa tumekumbatiana.
Baada ya muda tukatoka naye kidogo, angalau kwenda kumchangamsha kidogo ili awe sawa.
Baada ya kama dakika 45 tukawa tumerudi na kuendelea na mitungi pamoja na kucheza mziki.
Kwa sasa tupo pamoja, ni shoo shoo tu.
mimi namuhesabia episodesHivi visa vyako vitengenezee movie ukaiuze netflix
Nitashangaa, wakati hapo umekikumbatia kitoto kidogo chenye meno makali yanayong'ata 😀shda ako nkubali nmeachwa sio
Kweli mkuu, hapa tunajiandaa kwa mtoko huu wa 8.8 angalau tukaonje vimbavu viwili vya mbuzi 😀Vzr sana, mshajifunza makosa,msiachane tena