Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Jamani Leo ni birthday yangu

Nimetimiza miaka 30 Lakini sina
Mbele wala nyumaa

Vyuma vimekaza hadi sasa sina
Mbele wala nyuma naombeni
Ushauli

Naombeni ushaulii
tapatalk_1487762099561.jpeg
 
Jamani Leo ni birthday yangu

Nimetimiza miaka 30 Lakini sina
Mbele wala nyumaa

Vyuma vimekaza hadi sasa sina
Mbele wala nyuma naombeni
Ushauli

Naombeni ushaulii
Hahahaaaa "huna mbele wala nyuma"....Inamaana huna "pa haja kubwa wala pa haja ndogo"...!!!na umetimiza 30yrs duuuh..!!!sio mtu wewe bali n sheitwaani
 
Ni halali yako kutokuwa na mbele wala nyuma maana hata kuandika ni shida.
 
  1. Kama Upo CHADEMA hamia CCM kisha useme ulikotoka walikucheleweshea sana mafanikio!
  2. Mlaumu mama kwa kukuzaa wa kiume, mabeto hana umri wako ila ana mbele,nyuma sijui maana mimi si muumini wa pande hizo.
  3. Kwa mtu uliyekuwa na nidhamu ya unachokifanya na bado umeshindwa kufikia malengo yako hadi sasa ni vyema ukakaa chini na kutafakari upya ni wapi ulipokosea na ni namna gani unaweza kufanya sasa ili kujikwamua!
  4. Achana na mambo yote ambayo unaona yanakuchelewesha kufikia malengo yako na focus kwenye vipaumbele vyako, andaa jedwali la yote unayotaka kutimiza sasa na ikifika mwakani tarehe kama ya leo utoe remarks kwanini hukukamilisha na ni kwa kiwango gani hukukamilisha!
 
Back
Top Bottom