fujofupimatata
Member
- Feb 17, 2017
- 47
- 9
Kuna nafasi ya kusomea uganga WA kienyeji Handeni mwaka mmoja ukimaliza hapo naamini utapata ajira na bila shaka nyuma na mbele utupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha anazitafuta kwanza[emoji23] mpka 50 duh
Hiyo chata pia inakuchelewesha! Nani atakupa mchongo mtu wa hivyo? Kha! Ukiingia kwenye ofisi ya mtu lazima abonyeze alarm ya hatari!Hama Manzese mkuu huenda ndipo kunakufanya usiwe na la kujivunia katika struggling ya maisha
Mwanaume mipango mashine yaachie mahindiucjal kaka pesa sio kitu
mwanaume MASHINE
Kaka asante nimeupenda sanaMambo matatu yatakusaidia dunia hii
1.Ujuzi/maarifa
2.Nani unamjua
3.Nani anakujua
Ukitaka maendeleo jiweke karibu na watu wenye maendeleo.ukitaka kujua kupika kuwa karibu na wapishi.Kama wewe ni maskini ba rafikizo na kampani yako wote wako na hali kama yako basi hutakaa usoge abadan
Jitahidi kuongeza maarifa mapya kila siku.siju isipite hujajifunza kitu kipya chenye maslahi.be resourcefull.ukifuata ushauri huu,mwakani muda kama huu utakuwa mtu mwengine kabisa.
uwongo ,at 25yrs, 40s hapo ni kula maisha na kuendeleza ulichokipataLife begins at 40 don't worry.
Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Dah.... Acha uzembe na uvivu.... Fanya kazi kwa juhudi, bidii na maarifa... Maisha hayana short cut...Komaa [emoji13]Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Njo kuna fundi wa kukurudisha uwe na mbele na nyumaJamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii