Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kumtumaini Mungu pekee,UTAPATA tu !!!Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Ukitukana inakusaidia niniPumbavuuuu
Kama huna mbele wala nyuma, nenda kiubavuubau kama Kaa. Kaa anakwenda kiubavu ubau na bado anaishiJamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
Hahah haha haa, pesa nenda kwa Manji.ucjal kaka pesa sio kitu
mwanaume MASHINE
Selaah Mtukuze na Kumuabudu Mungu, Ukioa inaweza kukupa changamoto, so unaweza anza kuweka mtoto mzuri ndani ukiona mnaenda poa unaoa kabsa.Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii