mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Jamani leo ni birthday yangu
Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa
Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma
Naombeni ushaurii
kumbe we ajuzaPole lakini heri ya kuzaliwa kwako nina mtoto amezaliwa tarehe hii, happy birthday
nadhani ni ndugu na wazanakiWazulumati ni watu gani?
Inamaana una tundu au uko flat..?Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma