Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Jamani leo ni birthday yangu

Nimetimiza miaka 30 lakini sina mbele wala nyumaa

Vyuma vimekaza hadi sasa sina mbele wala nyuma

Naombeni ushaurii


Wacha kumkufuru muumba weye kijana, kwani ulizaliwa kilema? Unaposema hauna mbele maana kwamba hujawahi kukojoa toka uzaliwe au? Pia unasema hauna nyuma, unakaaje au unataka kutuambia hujawahi kunya maishani? Usimcheke Mungu.
 
Sina mbele wala nyuma wajanja wamekula bikra zote?
 
Mkuu huna makalio wa kikojoleo hahahahahahahahaha (jokes)
Bado hujachelewa tafuta wazo litakalo kusaidia kukuvusha kutoka hapo ulipo kuna msemo unaosema fanya kazi Kwa juhudi Ila ukifuata huu msemo na ukaweka mkazo Sana halafu umeajiliwa utaishia kuwa hivyo hivyo Tu mkuu
 
Happy birthday! Ni muda wa kuamua cha kufanya. Ila usiwe na papapara na maisha, kama bado kuna sehemu ya kufanya maisha yaende endelea hapohapo
 
Kuwa serious una mbele wala nyuma,still you have the chance,you can make it,explore your hidden potential,work on it,then you will be someone one day.
 
Back
Top Bottom