Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Mod tandika ban ya mwaka hii kitu..Habari
Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine
1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'
2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.
3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?
4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake
Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana
JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA
3
Mod tandika ban ya mwaka hii kitu..
Mbona kama namjua etiiBado yule wa
Aseeeee
Ngumu kumesa na
Ebooooo
Tihitihitihtihihihiiii
Wakati huo tukumbuke dakika 90 zishaisha huko Gabon Tanzania tuna points tatu za mezani khakhaakhaa
Tanzania 2-1 Angola
Cc Smart911
HahahahaahaaaKweli kuna watu mna muda wa kuchezea.
Kazi unayo Mkuu, na usawa ulivyo mgumu hivi unapata wapi muda wakuchunguza hayo?Habari
Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine
1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'
2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.
3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?
4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake
Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana
JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA
3
Kazi unayo Mkuu, na usawa ulivyo mgumu hivi unapata wapi muda wakuchunguza hayo?