Hatimaye nimewakamata: Wale mliobadili id dawa yenu nishaigundua

Habari

Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine

1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'

2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.

3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?

4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake

Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana

JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA

3

Mkemia Mkuu wa ' Magogoni ' yeye hajabadili yake?
 
Ee bana masuala ya kufatana fatana yameanza lini. Kila mtu yupo humu kivyake na ana kila sababu ya kufanya atakalo. Umewataja hao wa kike mbona wa kiume umewaogopa. Kama wewe sio snitch taja jinsia zote.

Watu wengine bana wanapenda ubabe usio na sababu.

Ntakuchapa wewe ohooo!

kwani mi nafuata mtu sembuse ata pm sijawahi kwendaga sasa kwa nini uhisi unafuatwa au una uadui na yule naniliu wa kile chama cha majani
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ee bana masuala ya kufatana fatana yameanza lini. Kila mtu yupo humu kivyake na ana kila sababu ya kufanya atakalo. Umewataja hao wa kike mbona wa kiume umewaogopa. Kama wewe sio snitch taja jinsia zote.

Watu wengine bana wanapenda ubabe usio na sababu.
Hahaaaaaa hapo ni kujiongeza tu mkuu ukiona hivyo pm zake azipokelewi vizuri
 
Acha kujishaua kama unaruka mtaro

mimi nama beib kibao tena watoto kweli kweli wazuriiii unaweza kuwala na makande, ugali, wali, makaroni, ndizi na nk

nyinyi wa jf ptyuuuu nawatemea na mate kabisa, mupo mupo tuu... mna id fake, picha za porn mnatumia kama avatar alafu unajipa max tunawafuata pm ahhhhaaaa kwikwiiii

naogopa sheria za hapa nisije nikalimwa ban maana naona kuna mods mpya ana kiranga na kupiga watu ban
 
Mbona nawewe umebadili ile inayoishia na e hebu jitaje kabla sijakutumbua
 
Those days Atoto alikua mama yake na Heaven sent kama sijapoteza kumbukumbu

nowdays naona pia Heaven sent my douta hahaha

mbona espy mate ni wa longi lakini kwani (...... o) kapotea lini???

just an opinion lol

espy mate tokeza hukuu

[HASHTAG]#guessingthough[/HASHTAG]

cc Smart911
Huyo Atoto long time sijamuona kule kwenye series special thread!
 
Habari

Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine

1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'

2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.

3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?

4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake

Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana

JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA

3
Hivi masai dada kapotelea wapi? kitambo sijamtia machoni
 
Yupo wapi Malaria Sugu?
 
Kuremba jina mpango mzima,who knows mbelen naweza badilisha na kujiita numbie au numby

Pm wala hapatishi basi tu kubadili mazingira kidogo
Ntakuchapa wewe ohooo!

kwani mi nafuata mtu sembuse ata pm sijawahi kwendaga sasa kwa nini uhisi unafuatwa au una uadui na yule naniliu wa kile chama cha majani
 
Kuremba jina mpango mzima,who knows mbelen naweza badilisha na kujiita numbie au numby

Pm wala hapatishi basi tu kubadili mazingira kidogo

Ohoo!

badili uone

ukibadili na mwandiko uubadili na mawazo uyabadili. hapo ntakukamata maana nakakaririgi baadhi ya memba maoni yao huwa hayabadiliki
 
Habari

Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine

1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'

2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.

3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?

4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake

Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana

JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA

3
This is name calling which is forbidden as per JF rules!
 
Back
Top Bottom