Hatimaye nimewakamata: Wale mliobadili id dawa yenu nishaigundua


Mkemia Mkuu wa ' Magogoni ' yeye hajabadili yake?
 

Ntakuchapa wewe ohooo!

kwani mi nafuata mtu sembuse ata pm sijawahi kwendaga sasa kwa nini uhisi unafuatwa au una uadui na yule naniliu wa kile chama cha majani
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahaaaaaa hapo ni kujiongeza tu mkuu ukiona hivyo pm zake azipokelewi vizuri
 
Hahaaaaaa hapo ni kujiongeza tu mkuu ukiona hivyo pm zake azipokelewi vizuri

Acha kujishaua kama unaruka mtaro

mimi nama beib kibao tena watoto kweli kweli wazuriiii unaweza kuwala na makande, ugali, wali, makaroni, ndizi na nk

nyinyi wa jf ptyuuuu nawatemea na mate kabisa, mupo mupo tuu... mna id fake, picha za porn mnatumia kama avatar alafu unajipa max tunawafuata pm ahhhhaaaa kwikwiiii

naogopa sheria za hapa nisije nikalimwa ban maana naona kuna mods mpya ana kiranga na kupiga watu ban
 
Mbona nawewe umebadili ile inayoishia na e hebu jitaje kabla sijakutumbua
 
Huyo Atoto long time sijamuona kule kwenye series special thread!
 
Hivi masai dada kapotelea wapi? kitambo sijamtia machoni
 
Yupo wapi Malaria Sugu?
 
Kuremba jina mpango mzima,who knows mbelen naweza badilisha na kujiita numbie au numby

Pm wala hapatishi basi tu kubadili mazingira kidogo
Ntakuchapa wewe ohooo!

kwani mi nafuata mtu sembuse ata pm sijawahi kwendaga sasa kwa nini uhisi unafuatwa au una uadui na yule naniliu wa kile chama cha majani
 
Kuremba jina mpango mzima,who knows mbelen naweza badilisha na kujiita numbie au numby

Pm wala hapatishi basi tu kubadili mazingira kidogo

Ohoo!

badili uone

ukibadili na mwandiko uubadili na mawazo uyabadili. hapo ntakukamata maana nakakaririgi baadhi ya memba maoni yao huwa hayabadiliki
 
This is name calling which is forbidden as per JF rules!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…