Habari
Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine
1. Kuna huyu
espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh '
o'
2. Mwingine ni
masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.
3.
joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?
4. Kuna
BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake
Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana
JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA
3