Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Ulikuwa unadhani?
Endelea kudhani hivyo hivyo.

Lengo la hizi picha siyo kwa ajili ya kukuvutia ila ni kwaajili ya somo la astronomy.
Picha hizi ni msaada kwa wanafunzi wa astronomy.

Tanzania hili somo halipo so hazina umuhimu kwako wowote.
Na elewa lengo ni nini. Ila naongelea kwa jinsi zinavyovutia watu wengi wanadhani ndivyo uhalisia na mwonekano unavyokuwa hata mimi nilidhani hivyo kwamba zile picha zikipigwa zinakuwa exactly kama wanvyoziachia kumbe sio kweli.
 
Hii tarifa nilikuwa naangalia live sky news walikuwa live kwenye NASA HQ daah nimevutiwa sana na lecture iliyokuwa inatolewa pale gafla na mimi nikatamani kuwa astronomer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤪🤪🤪Astronomer wa soseji
 
Na elewa lengo ni nini. Ila naongelea kwa jinsi zinavyovutia watu wengi wanadhani ndivyo uhalisia na mwonekano unavyokuwa hata mimi nilidhani hivyo kwamba zile picha zikipigwa zinakuwa exactly kama wanvyoziachia kumbe sio kweli.
Kilichofanywa na computer kuboresha hizo picha ndo ambacho mamcho yako yanafanya..yanakusanya waves then zinatumwa kwenye ubongo ndo unapata picha kuwa hiki ni kitu fulani.
 
Hua wanapataje ama wanapimaje hayo mahesabu ina maana na hcho kipimo kilichukua muda gani kutupa majibu hayo!!?
 
Inflared view nlitegemea kuona kama terminator
Wazungu waongo sana
 
Bro, kama unauwezo set kamera yenye uwezo mkubwa nje kwa siku tatu acha irecord kwa muda wa siku tatu. Alafu kisha ingiza kwa computer alafu hio video ndefu i-speed up kias kwamba iwe katika saa moja (badala ya siku tatu) utajionea mwenyew kwamba dunia inazunguka... hiki ni kitu nilishawahi kujaribu mm pamoja na wenzangu kadhaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua wanapataje ama wanapimaje hayo mahesabu ina maana na hcho kipimo kilichukua muda gani kutupa majibu hayo!!?
Kwa combination ya "parallax" na Pythagoras theorem. Parallax, hii inahusisha kuangalia muda nyota unaotumia kubadil nafasi iliopo kutoka kwa observer's POV. Pythagoras theorem ni ileile tuliojifunza kwenye hisabati... na hizi njia ziko accurate kiasi kwamba zilitumika kutuma probes zikazunguka sayari saturn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120]
 
Hii tarifa nilikuwa naangalia live sky news walikuwa live kwenye NASA HQ daah nimevutiwa sana na lecture iliyokuwa inatolewa pale gafla na mimi nikatamani kuwa astronomer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu ghafla ukajifunza kwamba huwezi kuwa astronoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…