Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Jamaa yuko good..ingawa kwa hapa nafikiri alitakiwa kusema "hizo galaxy zipo umbali wa ambao mwanga unatakiwa kusafiri miaka Bilioni 4.5 ili kufika huko."
Unatakiwa ufahamu kwamba kama hizo galaxies zimeoneka leo, basi mwanga umetumia miaka hiyo bilioni 4.5 kutoka huko hadi hapa dunia.
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."


Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
 
Hapo zinavyo onekana ndiyo ndivyo zilivyokuwa miaka 4.5billion sasa nikitaka kuona zilivyo leo hii nafanyaje au nasubiri tena miaka 4.5billion ijayo?
YES. Kwa sababu every time mwanga unaendelea kutoka huko kuja kwetu (kama ilivyo tabia ya mwanga kokote). So, ili kuziona zilivyo leo, lazima tungoje miaka hizo bilioni 4 hadi ufike hapa duniani.

Hivi mfano wewe ukitaka kujua miaka 300 hali ilivyo kuwa ni lazima utumie hiki kifaa au upate taarifa kutoka kwenye the "Primary Source"?
Lazima kitu hicho kiwe mbali kiasi kwamba mwanga kutoka hapo hadi duniani usafiri kwa muda wa miaka 300.

Hapa akili zetu zinatakiwa zitumike vizuri. Yaani unawezaje kujua hali ya dunia kutokea au kuwepo pasi na kuwa na taarifa za walio shuhudia tukio hilo?
Unless uko kwenye gimba fulani nje ya dunia iliyoko umbali ambao mwanga unaweza kusafiri kwa muda wa miaka unayotaka kujua historia husika ya dunia.

Mfano: Umri wa dunia (kwa mujibu wa Biblia, ni miaka 6,000). Kama kuna gimba fulani lililoko umbali ambao mwanga unaweza kusafiri kwa miaka 6,000, basi living beings walioko huko wanaiona dunia ikiwa MPYA ikiwa na akina Adamu na Hawa miaka 6,000 iliyopita.

Na kama tungekuwa na namna ya kuwasiliana nao INSTANTANEOUSLY, basi tungewambia sisi tuko miaka 6,000 mbele, japo wao wakituona wanashuhudia habari za Bustani ya Edeni zikingalipo.

Ni kama mtu anavyowasiliana na mtu wa huko Tanzania akiwa US. Mmoja anasema huku ingali ni usiku, lakini Tanzania unakuta ni asubuhi mpevu kabisa.
 
Marekani waliwahi kutudanganya wameenda mwezini na wakaexpose mapicha kama hayo kabla ya mwishi wa siku Russia kuja kuwaumbua kuwa ni waongo..lengo lao la kudanganya si lingine bali wapewe sifa tu na kuogopwa
United State of America ni taifa lenye muunganiko wa nchi 52. taifa lenye raia zaidi ya million 352. Taifa hili lina umri wa zaidi ya miaka 300 kasoro. kila mwaka wanazalisha Wataalam wa masomo ya science, mathematics, technology zaidi ya 600k kwa mwaka mmoja tu. Wakati wewe mtanzania bado serikali imeshindwa kutatua tatizo la madawati ilhali miti iko hapahapa nchini. Hawa Tayari wana shirika linalojihusisha na anga exploration na mwaka huu wamelitengea 24$ billions ambayo kibongobongo ni 53 Trillion shillings.
Kwa maana hiyo wamekuzidi wewe mtanzania kila kitu na itakuhitaji wewe mtanzania na serikali yako 1000 light years kufika waliko leo hii.

Kwa hiyo kukaa na kuamini kuwa walikaa chini kukudanganya inakuhitaji uwe mvivu wa kusoma pro max ili uweze kuihifadhi hiyo conspiracy katika ubongo wako.

Sitaki tuanze kubishana kuhusu NASA apollo 1 mission coz ndo next thread yangu. NASA and her partners (blue moon,space x, toyota,lookhead Martin space etc) tarehe 29 agoust 2022 wataanza mission ya kwanza kabisa NASA artemis 1 kwa hiyo itakuwa ni wakati muafaka kabisa wakuweza ku observe na ku discuss moon missions kwa mapana yake.




Hii project ya JWST ili waweze kukudanganya ingebidi waanze kuwadanganya space agencies wa NASA,CANADA NA EUROPEAN AGENCIES kwani project nzima imefanywa na zaidi ya watu 20000 kwa kipindi cha miaka 10.

Na usifikiri labda ni NASA wana fedha? hapana. Hizi fedha zinatolewa na serikali kupitia ruhusa ya Baraza la Seneti kwa maana hiyo ni lazima wafanye presentation katika bunge la Seneti na senate wapige kura kuridhika kuwekeza hicho kiasi huko kisha ipelekwe Congress na congress watunge sheria za kusimamia project nzima.. Ndo hivyohivyo pia Bunge la Canada liliridhia na bunge la Ulaya pia.

Kwa hiyo hakuna sababu yoyote ile ya watu 20000 astrophysics, cosmologist, Scientists🥼 makampuni mbalimbali ya binafsi kuwekeza fedha na mida wao ili wakudanganye.

Kitu ambacho unatakiwa ufahamu NASA project zao nyingi huwa wanashirikisha public kwa lengo la kujifunza, Vyuo vikuu mbalimbali huhusika kwa ukaribu kabisa katika Research and Development.

Upe ubongo wako nafasi ya kujifunza.
ukuta wa imani usikufanye uwe kipofu.
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    35.5 KB · Views: 21
Hili kumkataa mwanasanyi unapaswa kukaata kila Jambo linalofanywa na sayansi. Moja unatakiwa ujiulize kwanini hadi leo umekubali jua kuliita jua na si kuita kwa lugha yingine unayoijua wewe, same to moon na other space object ikiwa nature ya hayo majina Ni SUMERIAN ASTRONOMERS. Pia, hili uthibitishiwe unayotaka kujua unapaswa kujua kwanza mission mbalimbali zilizofanywa na astronomist mfano NASA tayari wana Space Craft Kama Voyager 1 na 2, Appolo, Mars presarvelance Rover, James Webb( The most modernized Space Craft ever) n.k So Unafikiri hizi space craft zilipelekwa angani kimakosa? Au tunapinga kwa kuwa tunahisi wachina na Warusi hawafanyi hivyo vitu?
 
Naomba unitajie "Assumptions" hata tatu katika ile safari ya Mtume kwenda mbingu ya saba. Kingine uonyeshe ya kuwa lile tujio siyo uhalisia.

Pili, ushawahi kuhoji kuhusu habari za mwanga kwa mujibu wa Sayansi ?

Tatu, kwenye hili unatakiwa ujipange kuhadiliana na mimi. Kama huna hoja fanya shughuli nyingine.
Tatu zote za nini, elezea kwanza mbingu saba ni kitu gani kipo wapi location yake ni wapi?
 
Tatu zote za nini, elezea kwanza mbingu saba ni kitu gani kipo wapi location yake ni wapi?
Sijaelewa umeandika nini ? Kwa itifaki za kimjadala, ili niendelee hapo nilipo ishia, inabidi maswali yangu yajibiwe.

Sasa nashangaa unataka mimi nilie taka zijibiwe hoja zangu nikujibu wewe swali hilo.
 
Kama huo mwanga umetravel 4.5 light billion years! Je kuna uwezekano baadhi ya stars zimeshakua dwarfs, na nyingine zimekufa na nyingine zimezaliwa? Bdo tuna safari ndefu sana!
Ni kweli kabisa, maanake unaweza ukafunga safari kwenda huko (which is absolutely impossible) usiikute. Au ukakuta ipo katika hali nyingine tofauti.
 
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."


Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
Chumvi kuntu hizi, si tuonyweshe picha ya Sasa, hizo za zamani hazitusaidii sisi, naona wanatuchosha na kamaliza mb zetu
 
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!

Sisi tunayo mambo yetu na sio mambo ya tafiti.
 
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Si tuendelee kuchakata mbususu kwa hasira kali
 
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."


Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
Hapana mkuu, yuko sahihi! Lengo mojawapo la project hii ni kufikia mwanzo wa ulimwengu, yaani uumbaji ulipoanzia! Hivyo miaka ya mwanga ndo inayotumika!

Huwezi elewa hivi vitu mkuu
 
Nimeanzisha uzi wake mkuu kama hutojari naomba utililike kuhusu hili bara coz binafsi sielewi ni kwanini halizungumziwi kabisa wakati kwa kipindi hiki nilitegemea kuwepo attempts kadhaa za kuishi huko.

Yaani tunataka kuishi Mars ilhali hapahapa duniani kuna mahali hakuna watu kabisa, inafikirisha hii.
Antarctica ina vingi sana.
Ila NASA wanalitumia eneo hili kuchungua anga coz hakuna light pollution
Mwenye ile picha ya mtu ameshikilia simu mbili anajichatisha aweke hapa!
 
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Mkubwa sisi tuendelee na royotua, haya mengine waachie wanyewe. Taifa haliwezi kuwa na fikra za mambo haya wakati bado kuna malaria, kichocho kipindupindu na na magonjwa ya ajabu kama hayo. Plus njaa, ukame, kwa ufupi sisi bado tinasumbuka na magonjwa, food and shelter.
 
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!

Sisi tunayo mambo yetu na sio mambo ya tafiti.
 
Back
Top Bottom