BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
- Thread starter
- #21
Pamoja kaka that's lifePole kiongozi
Kuna kanyimbo flani hivi ka singeli kanaimbwa "naipenda bodaboda japo ishanitoa vidonda" Muimba SINGELI

Yah nasubiri nipone nifanye na service ya chombo maisha yanaendelea as usualDah pole sana mkuu.. ushapata leseni apo ya boda ko ukipona rudi road mkuu🙌
Ili uhakikishe kama tego lako limefanya kazi barabara ?Weka picha ya majeraha.
Pole japo tulikuonya lakini haukusikiaAsante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika.
I don't blame anyone kwani kabla ya kununua pikipiki na kuifanya kuwa means ya transport kwenye harakati zangu nilishashuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakipoteza uhai ama kupata majereha ya kudumu kutokana na pikipiki but I decide to take that risk nikijua even me naweza kupoteza maisha kutokana na pikipiki.
Jana kama kawaida nimemaliza harakati zangu mitaa ya uhasibu mishale ya saa tano kasoro usiku nikawasha chombo yangu nakuanza safari ya kuitafuta mbezi all is well mpaka kufika mitaa ya matumbi kinaanza kimvua fulani kidogo kidogo mjuba sina habari nakomaa nacho mpaka nafika kibo mvua inazidi naamua kusimama na kujificha kwenye kituo cha mwendokasi pikipiki kibao ila wote tunajikinga na mvua.
Mvua imepungua mhuni nawasha chombo kuanza kuitafuta mbezi naimaliza kimara mwisho naingia njia ya mwendokasi mvua inarudi sasa kwa kutokuwa na experience naamua kukimbiza pikipiki ili niwahi kufika mvua isinichakaze kumbe ndio naenda kujichimbia kaburi tatizo linakuwa giza plus mvua so sioni mbali kuhamaki road blocks hizi hapa nikanyage breki nishushe gia pikipiki ikateleza nipo chini nimelaliwa na pikipiki upande wa kulia wote chapu nikaamuka mwili hauna ushirikiano kabisa nimesimama najaribu kunyanyua pikipiki niendelee na safari nashindwa
sababu ni night kali na nilipoanguka ni mbali na kituo cha daladala no one anakuja kunipa support nimesimama kama dk mbili namuona mtu anapita namuomba msaada wa kuninyanyulia pikipiki anafanya hivyo namuomba aniendeshe mpaka geto mbezi anadai hajui pikipiki vizuri naona sio kesi nakaa kwenye pikipiki nawasha naanza kuondoka mpaka kituo kinachofuata mkono wa kulia unakataa nikaona hapa nitakuja kupigwa na semi ikabidi nipaki pembeni ni make call kwa jirani yangu aje anichukue kweli anakuja ananiendesha mpaka home huku nikimpa info ya kilichotokea.
Nafika home ananisaidia kuingiza pikipiki ndani na kunielekeza nipashe maji nijikande na anasepa ile navua shati naona bega la kulia limeenda upande na mkono kama umelegea stress zinaanza mfukoni nimebakiwa na elfu kumi na tano tu nafanyaje nimpigie bimkubwa nasita sababu alinikataza kuendesha pikipiki mjini najikaza natoka nje natafuta boda ya kunipeleka dispensary mwamba ananiambia nauli afu tatu nampa nimefika nikiwa na hisia napata msaada wananiambia hawana X-ray niende boch ama hospitali ya wilaya ubungo.
Bochi ipo karibu ila ni private nikienda nitakuja kutafutana ugomvi na ndugu kulipa invoice kubwa naamua nijikaze kwenda kimara hospitali ya serikali napanda bajaji buku mfukoni nabakiwa na elfu kumi na moja nimefika naambiwa nitowe buku tatu ya kujisajili na kumuona daktari chapu natoa hela naelekeza chumba cha daktari kufika huko naambiwa inabidi nifanyiwe x ray nikalipe afu kumi na tano mapokezi ili wajue impact ya ajali money is not enough nabembeleza kwa ahadi ya kulipa asubuhi nakubaliwa
Nafanyiwa X ray good news sijavunjika ila nimeteguka bega inabidi waninyooshe mpunga unahitajika ili huduma ziendelee wakuu tutafute hela huwezi kukosa watu wa kukuchangia ila jinsi hela za matibabu zinavyopatikana ndio mtihani kwa sisi tusio na financial stability.
Asante kwa wote waliniosupport katika nyakati hizi ngumu na mnisamehe kwa usumbufu
NdioIli uhakikishe kama tego lako limefanya kazi barabara ?
Mtembelee magetoni kwakeNdio
Naunga mkono hoja, pikipiki sio usafiri kbs, ni chanzo cha haraka cha kifo ama ulemavu wa kudumuPole Ila wanaJF wakikupa ushauri usidharau .
Pascal Mayalla kabla ya kupata ajali ya pikipiki walimwambia aachane na huo Usafiri .
So Mimi nakuambia pikipiki kwa dar haifai mkuu
🤣🤣🤣 niko studio mkuu, tangu asubuhi projuza anasema sauti yangu haiingii kwenye biti, hapa kitambaa cha jasho nimekisnika baada ya kukamua.Pole kiongozi
Kuna kanyimbo flani hivi ka singeli kanaimbwa "naipenda bodaboda japo ishanitoa vidonda" Muimba SINGELI
Bora ili ukomeAsante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika.
I don't blame anyone kwani kabla ya kununua pikipiki na kuifanya kuwa means ya transport kwenye harakati zangu nilishashuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakipoteza uhai ama kupata majereha ya kudumu kutokana na pikipiki but I decide to take that risk nikijua even me naweza kupoteza maisha kutokana na pikipiki.
Jana kama kawaida nimemaliza harakati zangu mitaa ya uhasibu mishale ya saa tano kasoro usiku nikawasha chombo yangu nakuanza safari ya kuitafuta mbezi all is well mpaka kufika mitaa ya matumbi kinaanza kimvua fulani kidogo kidogo mjuba sina habari nakomaa nacho mpaka nafika kibo mvua inazidi naamua kusimama na kujificha kwenye kituo cha mwendokasi pikipiki kibao ila wote tunajikinga na mvua.
Mvua imepungua mhuni nawasha chombo kuanza kuitafuta mbezi naimaliza kimara mwisho naingia njia ya mwendokasi mvua inarudi sasa kwa kutokuwa na experience naamua kukimbiza pikipiki ili niwahi kufika mvua isinichakaze kumbe ndio naenda kujichimbia kaburi tatizo linakuwa giza plus mvua so sioni mbali kuhamaki road blocks hizi hapa nikanyage breki nishushe gia pikipiki ikateleza nipo chini nimelaliwa na pikipiki upande wa kulia wote chapu nikaamuka mwili hauna ushirikiano kabisa nimesimama najaribu kunyanyua pikipiki niendelee na safari nashindwa
sababu ni night kali na nilipoanguka ni mbali na kituo cha daladala no one anakuja kunipa support nimesimama kama dk mbili namuona mtu anapita namuomba msaada wa kuninyanyulia pikipiki anafanya hivyo namuomba aniendeshe mpaka geto mbezi anadai hajui pikipiki vizuri naona sio kesi nakaa kwenye pikipiki nawasha naanza kuondoka mpaka kituo kinachofuata mkono wa kulia unakataa nikaona hapa nitakuja kupigwa na semi ikabidi nipaki pembeni ni make call kwa jirani yangu aje anichukue kweli anakuja ananiendesha mpaka home huku nikimpa info ya kilichotokea.
Nafika home ananisaidia kuingiza pikipiki ndani na kunielekeza nipashe maji nijikande na anasepa ile navua shati naona bega la kulia limeenda upande na mkono kama umelegea stress zinaanza mfukoni nimebakiwa na elfu kumi na tano tu nafanyaje nimpigie bimkubwa nasita sababu alinikataza kuendesha pikipiki mjini najikaza natoka nje natafuta boda ya kunipeleka dispensary mwamba ananiambia nauli afu tatu nampa nimefika nikiwa na hisia napata msaada wananiambia hawana X-ray niende boch ama hospitali ya wilaya ubungo.
Bochi ipo karibu ila ni private nikienda nitakuja kutafutana ugomvi na ndugu kulipa invoice kubwa naamua nijikaze kwenda kimara hospitali ya serikali napanda bajaji buku mfukoni nabakiwa na elfu kumi na moja nimefika naambiwa nitowe buku tatu ya kujisajili na kumuona daktari chapu natoa hela naelekeza chumba cha daktari kufika huko naambiwa inabidi nifanyiwe x ray nikalipe afu kumi na tano mapokezi ili wajue impact ya ajali money is not enough nabembeleza kwa ahadi ya kulipa asubuhi nakubaliwa
Nafanyiwa X ray good news sijavunjika ila nimeteguka bega inabidi waninyooshe mpunga unahitajika ili huduma ziendelee wakuu tutafute hela huwezi kukosa watu wa kukuchangia ila jinsi hela za matibabu zinavyopatikana ndio mtihani kwa sisi tusio na financial stability.
Asante kwa wote waliniosupport katika nyakati hizi ngumu na mnisamehe kwa usumbufu
😂😂😂Tumia mafuta ya Nazi kaka kulainishia🤣🤣🤣 niko studio mkuu, tangu asubuhi projuza anasema sauti yangu haiingii kwenye biti, hapa kitambaa cha jasho nimekisnika baada ya kukamua.
Pole ushakuwa dereva sasa ajali imekukomaza.Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika.
I don't blame anyone kwani kabla ya kununua pikipiki na kuifanya kuwa means ya transport kwenye harakati zangu nilishashuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakipoteza uhai ama kupata majereha ya kudumu kutokana na pikipiki but I decide to take that risk nikijua even me naweza kupoteza maisha kutokana na pikipiki.
Jana kama kawaida nimemaliza harakati zangu mitaa ya uhasibu mishale ya saa tano kasoro usiku nikawasha chombo yangu nakuanza safari ya kuitafuta mbezi all is well mpaka kufika mitaa ya matumbi kinaanza kimvua fulani kidogo kidogo mjuba sina habari nakomaa nacho mpaka nafika kibo mvua inazidi naamua kusimama na kujificha kwenye kituo cha mwendokasi pikipiki kibao ila wote tunajikinga na mvua.
Mvua imepungua mhuni nawasha chombo kuanza kuitafuta mbezi naimaliza kimara mwisho naingia njia ya mwendokasi mvua inarudi sasa kwa kutokuwa na experience naamua kukimbiza pikipiki ili niwahi kufika mvua isinichakaze kumbe ndio naenda kujichimbia kaburi tatizo linakuwa giza plus mvua so sioni mbali kuhamaki road blocks hizi hapa nikanyage breki nishushe gia pikipiki ikateleza nipo chini nimelaliwa na pikipiki upande wa kulia wote chapu nikaamuka mwili hauna ushirikiano kabisa nimesimama najaribu kunyanyua pikipiki niendelee na safari nashindwa
sababu ni night kali na nilipoanguka ni mbali na kituo cha daladala no one anakuja kunipa support nimesimama kama dk mbili namuona mtu anapita namuomba msaada wa kuninyanyulia pikipiki anafanya hivyo namuomba aniendeshe mpaka geto mbezi anadai hajui pikipiki vizuri naona sio kesi nakaa kwenye pikipiki nawasha naanza kuondoka mpaka kituo kinachofuata mkono wa kulia unakataa nikaona hapa nitakuja kupigwa na semi ikabidi nipaki pembeni ni make call kwa jirani yangu aje anichukue kweli anakuja ananiendesha mpaka home huku nikimpa info ya kilichotokea.
Nafika home ananisaidia kuingiza pikipiki ndani na kunielekeza nipashe maji nijikande na anasepa ile navua shati naona bega la kulia limeenda upande na mkono kama umelegea stress zinaanza mfukoni nimebakiwa na elfu kumi na tano tu nafanyaje nimpigie bimkubwa nasita sababu alinikataza kuendesha pikipiki mjini najikaza natoka nje natafuta boda ya kunipeleka dispensary mwamba ananiambia nauli afu tatu nampa nimefika nikiwa na hisia napata msaada wananiambia hawana X-ray niende boch ama hospitali ya wilaya ubungo.
Bochi ipo karibu ila ni private nikienda nitakuja kutafutana ugomvi na ndugu kulipa invoice kubwa naamua nijikaze kwenda kimara hospitali ya serikali napanda bajaji buku mfukoni nabakiwa na elfu kumi na moja nimefika naambiwa nitowe buku tatu ya kujisajili na kumuona daktari chapu natoa hela naelekeza chumba cha daktari kufika huko naambiwa inabidi nifanyiwe x ray nikalipe afu kumi na tano mapokezi ili wajue impact ya ajali money is not enough nabembeleza kwa ahadi ya kulipa asubuhi nakubaliwa
Nafanyiwa X ray good news sijavunjika ila nimeteguka bega inabidi waninyooshe mpunga unahitajika ili huduma ziendelee wakuu tutafute hela huwezi kukosa watu wa kukuchangia ila jinsi hela za matibabu zinavyopatikana ndio mtihani kwa sisi tusio na financial stability.
Asante kwa wote waliniosupport katika nyakati hizi ngumu na mnisamehe kwa usumbufu
hii dhana nayo ina walakini, --- wengine wanita leseni sjui kinga ,Pole ushakuwa dereva sasa ajali imekukomaza.
Ongeza umakini barabarani maisha yaendelee.
😂 Kikubwa umakiniNipo kwenye harakati za kutafuta Honda XLR 650 kuikabili foleni. Ukimiliki honda Dar akili zako ziwe timamu usiwaze mapenzi na madeni.
Ndo hivyo. Ajali za wadosi chache sana kwa sababu wapo makini sana road wakiwa na honda. Sasa wabongo tunawekaga kwenye mfuko wa suruali na kutafuta sifa kwa wasiotujua road mara paap😂 Kikubwa umakini