Hatimaye pikipiki yangu niliyonunua wiki mbili zilizopita imenikanda.

barabarani ni kugumu sana
 
Dah pole sana mkuu.. ushapata leseni apo ya boda ko ukipona rudi road mkuu🙌
Yah nasubiri nipone nifanye na service ya chombo maisha yanaendelea as usual
 
Pole japo tulikuonya lakini haukusikia
 
Pikipiki hatari,tena hiyo route ya kutoka uhasibu kwenda mbezi kimara
Pole sana

Ova
 
Bora ili ukome
 
Pole ushakuwa dereva sasa ajali imekukomaza.

Ongeza umakini barabarani maisha yaendelee.
 
Pole ushakuwa dereva sasa ajali imekukomaza.

Ongeza umakini barabarani maisha yaendelee.
hii dhana nayo ina walakini, --- wengine wanita leseni sjui kinga ,
 
Nipo kwenye harakati za kutafuta Honda XLR 650 kuikabili foleni. Ukimiliki honda Dar akili zako ziwe timamu usiwaze mapenzi na madeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…