Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Hongera wanachalinze
 
1 na 2 zote hamna kitu
 
Jamaa ananyota sana
 
Chuma
 
Ridhiwani
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Kama unaharisha hivi. Unatia kinyaa
 
Mbunge ameshindwa kuorganize kupata 480M ili kununua vifaa badala yake amesubiri serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…