Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kama hivyo sawaKafanya mengine mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivyo sawaKafanya mengine mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva
" Hakuna kama Samia "
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,
Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,
Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,
Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?
#Kazi iendelee
View attachment 1959269
View attachment 1959270
View attachment 1959273
View attachment 1959274
Yamkini mleta hii habari wewe mwenyewe ndo R.Kikwete
Apewe Ufalme atawale milele"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,
Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Kazi iendelee Ridhiwani KikweteRais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva
" Hakuna kama Samia "
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,
Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,
Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,
Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?
#Kazi iendelee
View attachment 1959269
View attachment 1959270
View attachment 1959273
View attachment 1959274
Kumbe aliandaliwa mazingiraHizi promo si bure
Jamaa anafaa sana tuKumbe aliandaliwa mazingira
👉Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana.Hongera wanachalinze👈This is down to earth hipocrisy na uchumia tumbo.Wewe most likely utakuwa mpigaji Ist class.Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva