Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaoneka msafi nae teh.....
Karibu chama kubwa
Virasta sio uchafu bana unanitukana hadi mieKabisa. Asirudie tena tabia ya kufuga virasta.
naomba nikufanyie mpango wakusignAnaoneka msafi nae teh.....
Karibu chama kubwa
Wampatie na mama wa kumlea fasta Kama ilivyo sera ya WcbAnaoneka msafi nae teh.....
Karibu chama kubwa