Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tubashiri sasa unafikiri Mavoko atapewa mwanamke gani?L
Wampatie na mama wa kumlea fasta Kama ilivyo sera ya Wcb
Kwa hiyo tubashiri sasa unafikiri Mavoko atapewa mwanamke gani?
Mimi nahisi huyu atapewa shilole..
Just kidding[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo Faiza Ally ndio reporter, au ndio anamnyemelea kijana?
winner chibu loser mavoko....life is full of surprisesHatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
![]()
hapo ndo utaona tofauti ya Huyu na yuleeeee.....Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
![]()
Kama hatokaa itakula kwake kwasababu kama mkataba unasema atakuwa chini ya WCB kwa miaka 3,halafu yeye akatishe analipa fidia nadhani unamuona mwanasheria hapo. ( kila kitu kipo kisheria hapo,yeyote atakayevunja mkataba atamlipa mwenzake fidia,sasa hapo kwenye kulipa fidia ndio unakuta mtu anafilisika)Wala hatokaa hapo muda mrefu sana nusu mwaka,
Hahahaha!! Auto tune yakuzaliwa nayoWCB almost signed Ali Kiba. A clause prohibiting nose singing ruined the deal
Hii kauli muda si mrefu itabadili hali ya hewa.Diamond anasema anapenda hii nyimbo sana sababu kuna kimtu kinajiletaleta ila kijue imebaki story woyoooo