Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Wamependezana Kama mapacha, tusubiri vitu vitamu, ila pia WCB hatutaki videmu tunataka Bibi bomba kwahyo Jiandae
 
L
Wampatie na mama wa kumlea fasta Kama ilivyo sera ya Wcb
Kwa hiyo tubashiri sasa unafikiri Mavoko atapewa mwanamke gani?

Mimi nahisi huyu atapewa shilole..
Just kidding[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo Faiza Ally ndio reporter, au ndio anamnyemelea kijana?
 
Kwa hiyo tubashiri sasa unafikiri Mavoko atapewa mwanamke gani?

Mimi nahisi huyu atapewa shilole..
Just kidding[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huo atamuua anakaba mpaka baunsa,
Nafikiria atapewa yule dogo alipotoka!

Si unaona kashaanzaa promo mapema!
 
Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
095cd307ed53e0f347016168e4aa4460.jpg
winner chibu loser mavoko....life is full of surprises
 
Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.
095cd307ed53e0f347016168e4aa4460.jpg
hapo ndo utaona tofauti ya Huyu na yuleeeee.....
 
Wala hatokaa hapo muda mrefu sana nusu mwaka,
Kama hatokaa itakula kwake kwasababu kama mkataba unasema atakuwa chini ya WCB kwa miaka 3,halafu yeye akatishe analipa fidia nadhani unamuona mwanasheria hapo. ( kila kitu kipo kisheria hapo,yeyote atakayevunja mkataba atamlipa mwenzake fidia,sasa hapo kwenye kulipa fidia ndio unakuta mtu anafilisika)
 
Kwani rich anatoka na dada wa baba tifah? (Quen darin) kwenye insta yake mavoko kapost wanakisi live live.
 
Ali kiba ni wakati sasa wa ku-shine!!
 
Bado atafutiwe Bibi wa kumfunga ngata na kumuita baby...bravo team Vibibi
 
Hongera sana Diamond kwa kusaidia wasanii wenzako,Rich Mavoko tunategemea music mkali uwezo wako unajulikana
 
Back
Top Bottom