Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Hii habari alishaitoa kitambo ndugi yetu Raj a.k.a harmonize.
Leo ndio tukio limekamilishwa. Hii ni kama habari za ndoa za siku hizi,anakutoa bikra mwengine na anayekuoa ni mwengine kabisa.
Hongera Mavoko.
YNWA
 
Binafsi nampa pongezi Diamond, ni juhudi kubwa amefanya kuimalisha lebel yake hadi kufikia kiwango cha kuanza kusainisha wasanii wakubwa kama Mavoko. Nina imani akiendelea na juhudi hizi atasainisha wasanii wakubwa zaidi. Na sasa nimemuelewa vinzuri kwa nini alisema yeye haoni lebel yoyote ya kuweza kumsaini yeye.
 
mh amekubali tu lakn ukijaribu kuwaza vizur ni kwamb hatoweza kuendana na hyo management. ila ngoja tuone.
 
Amefanya jambo sahihi mavoko nna iman atafika mbali mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…