Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habari njema Rwanda wamejenga kiwanda cha kusafisha madini mbalimbali ikiwemo madini ya Dhahabu.
Jionee mwenyewe kwenye picha hii.
Jionee mwenyewe kwenye picha hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀😀Wakati huo sisi tunasafirisha mchanga badala ya kusafishia hapa hapa!!! Nani ametuloga watanzania?☹️
Magufuli alijaribu kuwazindua watz kina Lisu wakaishia kumwita dikteta!Wakati huo sisi tunasafirisha mchanga badala ya kusafishia hapa hapa!!! Nani ametuloga watanzania?[emoji3525]
Madini yote ni kiwanda kikubwa Afrika nzimaMadini yote yatakuwa yanasafishwa hapo ana yapora toka Congo
Kwa hakuwa dikteta?Magufuli alijaribu kuwazindua watz kina Lisu wakaishia kumwita dikteta!
Ukitaka kukaba ili uweke kitu kama hicho wakichofanya Rwanda lazima vi Lisu vingine sana vijitokeze kukuita diktetaKwa hakuwa dikteta?
Kwa hiyo Magufuli hakuwa dikteta? Mbona unaruka swali?Ukitaka kukaba ili uweke kitu kama hicho wakichofanya Rwanda lazima vi Lisu vingine sana vijitokeze kukuita dikteta
Hajawahi kuwa diktetaKwa hiyo Magufuli hakuwa dikteta? Mbona unaruka swali?
Labda hauishi Tanzania ndio mana,ungekuwa Tanzania ungejioneaHajawahi kuwa dikteta
Nipo tz ndio maana nimekwambia hajawahi kuwa diktetaLabda hauishi Tanzania ndio mana,ungekuwa Tanzania ungejionea
mkuu acha uchawi hapa, tunazungumzia habari za kufunguliwa kiwanda kama wanaiba hilo halituhusuKagame ameamua rasmi kuhalalisha wizi na uporaji wa dhahabu Congo DRC kazi kweli na mtoa mada naona up[o kazini kupenyeza taarifa za kidhalimu. hongera!
Kwahiyo unataka kusema hiyo kiwanda hakuna? Kama lugha kwako nishida kakae kimya,hii kiwanda iko wipi? Buguruni?sinza,kigamboni?kahama au kiko Geita?mwenzio akikuzindi jambo kubali sio unakosa lakusema kwa eti propaganda!. Tumia macho maana kusoma kizungu shida kwako.👇Rwanda ukiisoma utaiona 5 star....uongea sasa na Wanyarwanda walioko Rwanda ndo utajua maana ya propaganda!
Tanzania tayari gold refinery imejengwa na ipo located mwanza na ilifunguliwa mwezi wa 4I hope hawategemei Tanzania kuwa moja kati ya wateja wao, nitashangaa sana.
Rwanda gets first gold refineryThe refinery has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them.
By Julius Bizimungu
Published : June 19, 2019 | Updated : June 19, 2019
Rwanda has acquired its first-ever gold refinery.
And officials say it has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them.
The $5m plant is located at the Kigali Special Economic Zone in Gasabo District.
Aldango, the company behind the initiative is a joint venture between two firms – Hilly Metals Company, a local company, and Aldabra.
The two hold equal shares in the business. The refinery has been operating since March.
Aldango was previously running as a business dealing in gold.
Speaking to The New Times on Tuesday, Jean de Dieu Mutunzi, the company’s chairman said, “We have built an advanced factory with enough capacity to process large quantities of gold from all around Africa.”
“What we are doing is not new but people have been used to taking gold to Europe, Dubai, Turkey, Switzerland, and Belgium. Now we have the same factory with the standards as those in Europe and Asia,” he added.
For so long we had no factories that process what is being mined on the continent, he said.
The company’s core business is to buy gold and process it to make sure we get 99.99 per cent quality, he said.
Gold attracts security threats to the life of dealers and company officials believe the firm can help minimise those threats since there won’t necessarily be need to travel long distances looking for a place that can refine gold.
The Government says this is an important development.
“This is a critical investment for our country,” Soraya Hakuziyaremye, the Minister of Trade and Industry, noted on Tuesday as she toured the refinery along with other officials.
She said it signals to the fact that Rwanda was moving on to the next phase of adding value to its minerals.
The gold refinery is the first of its kind in the country, she said.
“This is also to showcase that we can add value to raw materials and investments that have been made,” she said, pointing out that the African continent loses a lot when it exports its resources raw.
In a way, she said, Rwanda was attempting to answer that question of why the continent was exporting raw commodities.
Aldango says it already has access to the international market.
The new facility has a capacity to refine 6 tonnes of gold a month, or about about 220 kilogrammes a day, and officials said they were working to expand its capacity as demand increases.
According to the Ministry of Trade and Industry, Rwanda exported some $500 million worth of minerals – albeit in raw form.
Mining and quarrying recorded an 18.2 per cent growth in the same year.
Rwanda targets to collect $1.5 billion from mineral exports by 2024.
![]()
PHOTOS: Rwanda gets first gold refinery
Rwanda has acquired its first-ever gold refinery. And officials say it has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to...www.newtimes.co.rw
Ni wakati sasa jirani zetu kuchukua migodi ya Acacia