Kuna tuhuma mpya za mipango kabambe zinazomhusu jiwe na Paul Kagame (PaKa).
PaKa amevuruga sera zetu za madini, kamshauri jiwe namna ya kuiangamiza biashara ya madini ili madini yavushwe kwenda Rwanda ndipo yakauzwe huko duniani.
PaKa alianza na Tanzanite na sasa anahamia kwenye dhahabu, na mpaka 2025 Rwanda itakuwa imevuna matrilioni ya pesa kutoka kwenye madini yetu.
Baada ya kuona CCM inaweza kuwa kikwazo, PaKa ana mpango wa kuiangamiza CCM ili jiwe abakie kama dikteta.
Sitashangaa siku PaKa akiivamia TZ hasa ukanda wenye madini na kuhamishia vikundi vyake vya waasi huko kupora na kulinda maslahi ya Rwanda.
TUMELIWA