Hatimaye Rwanda yaanzisha Gold Refinery - Hope Makinikia hayataenda nje ya Africa tena

Habari njema Rwanda wamejenga kiwanda cha kusafisha madini mbalimbali ikiwemo madini ya Dhahabu.

Jionee mwenyewe kwenye picha hii.

 
Wakati huo sisi tunasafirisha mchanga badala ya kusafishia hapa hapa!!! Nani ametuloga watanzania?☹️
 
Wakati huo sisi tunasafirisha mchanga badala ya kusafishia hapa hapa!!! Nani ametuloga watanzania?[emoji3525]
Magufuli alijaribu kuwazindua watz kina Lisu wakaishia kumwita dikteta!
 
Kagame ameamua rasmi kuhalalisha wizi na uporaji wa dhahabu Congo DRC kazi kweli na mtoa mada naona up[o kazini kupenyeza taarifa za kidhalimu. hongera!
 
Juzi nilikua naangalia documentary moja kuhusu vita ya central africa nikashangaa rais wao analindwa na bodygard wa Rwanda aisee hapo ndo nikasema Rwanda si ya mchezo [emoji2297][emoji2297]
 
Ukitaka kukaba ili uweke kitu kama hicho wakichofanya Rwanda lazima vi Lisu vingine sana vijitokeze kukuita dikteta
Kwa hiyo Magufuli hakuwa dikteta? Mbona unaruka swali?
 
Hakuna refinery ya maana inayoweza kujengwa kwa US$ 5 Million, aidha mwandishi amekosea au inayojengwa ni Assay Test Laboratory na wala sio Gold Refinery.
 
Rwanda ukiisoma utaiona 5 star....uongea sasa na Wanyarwanda walioko Rwanda ndo utajua maana ya propaganda!
Kwahiyo unataka kusema hiyo kiwanda hakuna? Kama lugha kwako nishida kakae kimya,hii kiwanda iko wipi? Buguruni?sinza,kigamboni?kahama au kiko Geita?mwenzio akikuzindi jambo kubali sio unakosa lakusema kwa eti propaganda!. Tumia macho maana kusoma kizungu shida kwako.👇

























 

Si lazima kuwa na machimbo kuwa na refinery. Hawa wameonyesha mfano. Ng'ombe hawana ila wamenunua mijeledi 😂😂😂😂😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…