Hatimaye Rwanda yaanzisha Gold Refinery - Hope Makinikia hayataenda nje ya Africa tena

Hakuna refinery ya maana inayoweza kujengwa kwa US$ 5 Million, aidha mwandishi amekosea au inayojengwa ni Assay Test Laboratory na wala sio Gold Refinery.

Tufanye hio $5mil ni sawa na gharama ya kujenga choo kule chato.
 

Alisikika mtu mmoja akiharisha kupitia mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…