Models za uchumi wa Kimarekani? You are not serious. Mchina hadi anashusha pesa yake thamani intentionally, ulishawahi sikia Mmarekani anafanya hivyo? Wengine wameshindwa nini kucopy models za uchumi mpaka nchi kama ufaransa india anaipita GDP, Uingereza hata ndani ya chumi 4 hayumo?
Mchina ni mpambanaji sana itamuathiri but kama ilivyo phoenix ata rise again
Umesahau kwamba USA yeye ana print pesa zake kupita kawaida anatumia udhaifu wa kwamba pesa yake ndio reserve currency ya dunia ata aki print kiasi gani itakuja kutumika tu duniani kwingine bila kuleta madhara kwake kama inflation na ana print both physical and digital kwa hiyo usimlaumu mchina kwa ku shusha pesa yake kila mtu ana mbinu zake