Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'

Models za uchumi wa Kimarekani? You are not serious. Mchina hadi anashusha pesa yake thamani intentionally, ulishawahi sikia Mmarekani anafanya hivyo? Wengine wameshindwa nini kucopy models za uchumi mpaka nchi kama ufaransa india anaipita GDP, Uingereza hata ndani ya chumi 4 hayumo?
Mchina ni mpambanaji sana itamuathiri but kama ilivyo phoenix ata rise again

Umesahau kwamba USA yeye ana print pesa zake kupita kawaida anatumia udhaifu wa kwamba pesa yake ndio reserve currency ya dunia ata aki print kiasi gani itakuja kutumika tu duniani kwingine bila kuleta madhara kwake kama inflation na ana print both physical and digital kwa hiyo usimlaumu mchina kwa ku shusha pesa yake kila mtu ana mbinu zake
 
Models za uchumi wa Kimarekani? You are not serious. Mchina hadi anashusha pesa yake thamani intentionally, ulishawahi sikia Mmarekani anafanya hivyo? Wengine wameshindwa nini kucopy models za uchumi mpaka nchi kama ufaransa india anaipita GDP, Uingereza hata ndani ya chumi 4 hayumo?
Mchina ni mpambanaji sana itamuathiri but kama ilivyo phoenix ata rise again

Na hivi vikwazo mimi nina amini vitamfanya china ajitegemee na ku raise tena kwa kasi sana
 
Sasa pesa ya china utaifananisha na Doller?,Dollaer ni exchange standard ya dunia,so haiwezekani leo mmarekani atoke tu na kushusha pesa yake dhamani bila sababu za msingi.Mchina yeye anatake export kwa wingi ndio maana pesa yake anahakikisha inakuwa chini ya doller ya marekani as possible.Assets kibao za dunia hii ziko valued interms of USD,unatataka doller ichezewe tu kama anavyofanya mchina?.
Kipindi cha kuisha kwa vita ya korea 1953 marekani aliikalia korea ya kusini na ndio hapo mifumo ya uchumi ya kibepari ilianza kuota nchini korea na ndio hadi leo unawaona hivyo walivyo wako mbali kuliko wenzao wa North,Ile ni Amarican economic model (Ubebari) hakuna jina lingine unaweza ipa.Wafaransa,waingereza,wahindi wote hao wana uchumi wa kibebari,bepari kumpita bebari mwenzie its not a big deal,hata vidole vyako haviko sawa.
Hao wachina wenyewe wanatumia political economy,yaani serikali ya ki communist lakini uchumu unaendeshwa kwa element za kipepari,wangeng'ang'ania ma model kama yale ya Cuba na North Korea wasingekuwa hapo walipo.

Basi kila mtu abaki na mfumo wake hakuna kumlaumu wenzake au kuna sehemu imeandikwa wote tuishi kwa mfumo mmoja duniani

China anashusha thamani ya fedha zake na marekani nae anatumia sana fiat money,ngomq draw.
 
Ww acha ugonjwa, China hana uwezo wa kupiga burn products za marekani nani kakwambia, acha umahaba

Marekani watajipiga ban wenyewe mfano wanataka kupiga Ban wechat sasa wakipiga Ban hii app ina maana kua apple zitakua useless kule China na China ni soko la pili kwa apple duniani ukiacha marekani je apple watakubali wakose soko lote la China?
 
Kumekucha

Jitaarisheni kutumia OS mpya ya Huawei ambao wana simu za Huawei, itaanza kufanyakszi by 2021, wameeleza kuwa simu za Huawei utakapo iwasha itakua na option 2 unachagua utumie Harmony Os au android, yaani nikama kwa Computer kwa wale wenye OS 2 tofauti utachagua utumie Windows au Ubuntu [emoji16][emoji16][emoji16]

Inamaana kuwa Chinese Phone like OPPO, XIAOMI, VIVO nk zitakua zinaoption kama hizo

Nimesoma comment za wazungu wengi wanataka huo mfumo mpya coz wanasema android inakua inadukuliwa sana

YAJAYO YANAFURAHISHA

Huawei to shift phones to its own Harmony operating system from 2021
 
Kwa iyo iyo Harmony bado haijaingia ktk system wanajihakikishia kwamba haitadukuliwa
 
Itakua iko secure [emoji359] zaidi ya android, na kwa vile wanataka kuvutia wateja duniani ukiacha lile soko lao la ndani linalojitosheleza itakua na nguvu zaidi, alaf pia uzuri wake uninstall vyote vya android lakini android [emoji16]

Kwa upande wako upo tayari uache kutumia Wasapu, Wikipedia, Facebook, Instagram, Twitter, Pinterest, YouTube na Snapchat Kwa sababu ya kumpenda mchainisi wako
 
Nafkiri hujanifahamu, hizo apps zote zitarun katika mfumo wao, kwamfano sasaivi ukienda kwenye matoleo mapya ya Huawei phones wana play store yao ambayo apps zote za play store zinapatikana humo inaitwa apps gallery
Screenshot_20200911_124430_com.huawei.appmarket.jpg
Screenshot_20200911_124522_com.huawei.appmarket.jpg
Screenshot_20200911_124514_com.huawei.appmarket.jpg
 
Marekani watajipiga ban wenyewe mfano wanataka kupiga Ban wechat sasa wakipiga Ban hii app ina maana kua apple zitakua useless kule China na China ni soko la pili kwa apple duniani ukiacha marekani je apple watakubali wakose soko lote la China?
Ndo wameshaalikosa sasa .hivi hizo kampuni zitawauzia akina nani hizo processor maana kitu kinachosumbua dunia kwa sasa ni upatikanaji wa soko sasa hawo Samsung na LG wanasoko la uhakika kwa sasa soon watalipoteaza na itapinguza ajir na hasara pia
 
Ukiacha tu hilo suala la chip ishu nyingine niliyo maanisha ni kwamba trump anataka ku ban wechat na kuban wechat ina maana itaondolewa kwenye apple store sasa watu wanasema kwamba wechat kwa china ndio kila kitu na inatumiwa na watu kama 1.2 billion kuanzia kwenye mawasiliano mpaka payment system kwa hiyo ukiitoa kwenye apple store ina maana iphone zitakua useless kule na hazita uzika kabisa kwa kua zitakosa hiyo wechat wanayoitaka kwa matumizi yao ya kila siku
 
China inazidi kuangamia.

Huawei ndiyo kampuni pekee ya China ambayo ni miongoni mwa makampuni 10 makubwa nchini China. Makampuni yote yaliyobakia 9 ni makampuni ya Ulaya na America.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China wataangamia kwa sasa ila hawa jamaa wakiibuka ndio itakua imetoka hiyo maana wanaenda kujitegemea kwa sasa na uzuri wa china wanafanya kazi kwa bidii mno.
 
Kufanya kazi sana sio ishu. Kuwa na akili ya kutengeneza platforms kama ya Android au IOS sio mchezo
 
Kufanya kazi kwa bidii ndio kumewafanya leo hii wawe second economy dunia hivi unadhani na population ile ya watu 1.3 billion wangekua wazembe si wangekua omba omba wakutisha na ukumbuke mabadiliko makubwa yamefanywa ndani ya kipindi cha miaka 30 tu na china imepata uhuru mwaka 1949 umewahi kuwaza hilo?

au wewe unaona maendeleo ya kasi kwa china yametokana na nini hasa
 
Kufanya kazi sana sio ishu. Kuwa na akili ya kutengeneza platforms kama ya Android au IOS sio mchezo

Wanayo ya kwao harmony OS na inaanza kutoka mwakani.

Wasingekua na akili wasingefika hapo walipo leo hii.
 
Asilimia 80 ya hightech science and research work nchini Marekani zinatoka kwa raia wenye asili ya China na India. Prof. Michio Kaku wa US huwa analizungumza sana.

China alinyimwa kujiunga na space station miaka ya 90 kama sijakosea. Akaanzisha space program ya kwake. Matokeo yake ikawa ndiyo nchi ya kwanza duniani kufika the dark side ya mwezi na kuipiga picha hali ya kuwa NASA hawakuwahi kufika kwani picha ya mwezi wa dunia iliyokuwa inayoonyeshwa siku zote ni ya upande mmoja.

China ilitishiwa kutotumia GPS matokeo yake ana ya kwake BDS ambayo inasemekana ipo vizuri kuliko GPS. Kadri Mchina anavyobanwa ndivyo kadri inavyoonyesha anazidi kujisimamia wenyewe. Huawei hatujui sasa hivi maabara anafanya nini zaidi zinazosikika zaidi ni habari za kuzidi kuwekewa vikwazo.

Kingine hivi vikwazo havimuumizi Huawei tu bali makampuni ya Marekani yanaumia zaidi kwa sababu kumpoteza mteja pekee ambaye anakuingizia mpaka dola billioni 8 si kitu cha masihara. Sasa hiyo fidia itafidiwa vipi?! Na kingine ni kwamba Huawei hatokuwa partner kwao tena bali atakuwa ni mshindani haswaa!

Samuel P. Hantington kwenye kitabu cha clashes of civilisation kuna very wise na accurate quote inayosema "The west won the world not by the superiority of its ideas or value or religion but rather by its superiority in applying organised violence. Westerners often forget this fact, non westerners never do".

Marekani ameshachelewa kwa Mchina!Kibaya zaidi raia waowameshaanza kuchoka na hizo siasa mara Mchina mbaya mara Mrusi mbaya. Watu wanataka washirikiane wapige kazi na waifanye dunia iwe sehemu salama.
 
Umechamua kwa weled mkubwa sana ..amna kitu kibaya kama kupoteza soko lako la uhakika sasa sijui hayo makampuni yatazalisha nini
 
Back
Top Bottom