Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'


wenzako wanaangalia maslahi katika namna pana sana sio faida peke yake.

samsung ni kampuni la kikorea,lakini vile linakwenda sawa na matakwa ya mwenye mbwa basi mambo ni bam bam.naan hizo ndio biashara.

mchina alianza kutahadhalishwa muda mrefu sana,kama angekiwa mjanja sana angebadiri gear angani mambo yangekuwa mambo.tutammiss sana.
na ubaya tech ya simu hairuhusu kukaa kando ukajipange,ukitolewa imekula kwako.
 
Bila shaka unajibu kulingana na hii habari ya huu uzi. Sidhani kama unajibu kwa masuala jinsi yalivyo na yanavyokwenda.
 
Mchina katusaidia sana, zamani tv mpaka tufuate Zanzibar lakin sikuhizi k/koo zipo za kumwaga bei chee.
 
Umechambua kwa mahaba sana

Huwezi fananisha beidou Na GPS. At least ungeitaja glonass ya warusi sio ya mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…